Uthubutu: Kijana atakayeelezea jinsi atakavyoizalisha elfu 50 ndani ya mwezi mmoja nitamkopesha bila riba

gud sana na hongera,hiyo hela uifanyie kazi kweli na sio kuitumia kutatua matatizo yako yako mengine utakua hujamtendea haki alokupatia mtaji.
 
Asante mkuu,ila mshindi sio Mimi,Mimi nimeingia kwenye tatu bora tu.maziwa nimeshafanya research,unauza kwa order,unavyotoa unapeleka moja kwa moja kwa wateja kwa order.order ni nyingine Sana ,maziwa ni deal mjini.hayawezi kubaki.usichanganye na maji tu ,utajiharibia soko.pia in case yakibaki unazalisha ya mgando.nayo Ni bei kuliko fresh.mtaji ukiwa mkubwa unafungua kifrem kabisa.na unanunua vifaa Kama Yale matank ili maziwa yasigande
 
Hongera Sana mkuu,Bonde la Baraka.Mungu akuzidishie uwe mlima wa baraka.asante kwa kunichagua kuingia kwenye tatu bora
 
Ahahahahah,
Natamani ningekuwa tajiri, ningezalisha matajiri wengi zaidi.
 
N Hingera Sanaa !! Nipiem namba ya tigo!! Nitimize ahadi....
NB: mtu ukishindwa Basi ungana nao.
 
Natamani huu mrejesho ungeendana na siku utayoanza kazi/kuendelea na hiyo kazi uloandika ukapata hiyo amount
Pia ukaw unatuupdate hatua kwa hatua ili kuwapa mwanga wengine na hata sisi tunaoanza upya
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inakujaaa inakataaa,inakujaaa inakataaa..
 
Hongera kwa mleta uzi kwa kutimiza ahadi yake. Sasa imebaki kwa mshindi kufanya jitihada zote kufanikisha lengo lake. Update ni muhimu sana ukumbuke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…