Uthubutu: Kijana atakayeelezea jinsi atakavyoizalisha elfu 50 ndani ya mwezi mmoja nitamkopesha bila riba

umetisha sana mkuu

Yule mshindi namba moja katuangusha sana we usimuige endelea kupambana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hesabu za kwenye karatasi rahisi sanaa kuliko uhalisia wenyewe [emoji124][emoji124] Peramiho yetu,

Sent from my SM-J320F using Tapatalk
 
mimi ni shaidi wa hili,mishikaki ina faida sana
 
Mkikaaga humu JF mnaji danganya sana,ukweli ni kwamba ukichukua pen na karatasi ni rahisi sana kuandika ila ss nenda field hiyo hela kama ulikopeshwa kufanyia biashara "utazitapika" na Korona hii (Kwa sauti ya JPM).
Mkuu unamaanisha elfu 50 haiwezi zalisha kitu kikubwa zaidi ya 50 yenyewe?
 
Biashara ya chips sina hamu nayo bora nukapige konyagi kama niniliuu yule

Sent from my TECNO WX3 using JamiiForums mobile app
 
Kuongea rahs sana ingia kazn kama huta uza mahind matano

Sent from my TECNO WX3 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu mm nipo mzigoni usiongee usichokijua changamoto zipo lakn napambana nazo kuna vitu naviweka sawa ili nilete mtejrsho kwa miezi hii mitano nn nimepata na nimefanya nn
Pera Boy

Hakuna location nzuri ya mishikaki huko nime-survey sana Tandika strategic point zote wamekaa, Makumbusho ndio usiseme kilapande wamebeba, nasubiri location ya Mbagala wamenipiga Calendar huko vipi kutamu.
 
Mkuu kwa Tandika hawa wapemba wameshika soko la vitu vitamu kuanzia bites kuku had mishikaki s unajua hawa wenzetu kuhusu kula wao wapo makini na wanajua kupika asee kuna eneo moja naona lipo loose maeneo ambayo wanauza nafaka sjaona muuza mishikaki pande zile ngoja jion nikirud nipitie tena nipajue vzur ntakujuza mkuu
Pera Boy

Hakuna location nzuri ya mishikaki huko nime-survey sana Tandika strategic point zote wamekaa, Makumbusho ndio usiseme kilapande wamebeba, nasubiri location ya Mbagala wamenipiga Calendar huko vipi kutamu.
 
Miamiaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…