Mimi ninaomba mwenye wa kunikopesha laki 5 hata kwa riba poa tu, nitairejesha ndani ya miezi 2 nipo tayari kumwambia wazo langu na hata eneo husika la biashara ,nimekwama. mtaji tu
Sent using Jamii Forums mobile app
WAZO HILI HAPA
Kwa mtaji wa elfu 50 nitaenda kariakoo kununua tishirt za shilingi elfu 4 classic kwa bei ya jumla tishirt 13 zitagharimu shilingi Elfu 48
( siongei theoretical hii biashara nina experience nayo kuna mda nilikuwa naagizwa na mtu kumchukulia mzigo tishirt ni classic kweli.)
baada ya hapo nitakuja kuziuza kwa bei ya TSH 800 kwa kila tishirt ambapo kwa tishirt 13 nitapata elfu 96000
Note: hizo tishirt nitaziuza kwa mda wa one week only.
Baaada yahapo nitarudisha nilichikuwa nimekopeshwa na kusimama mwenyewe .
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili wazo lenye uhalisia sana na ndio ninaloliendea sasahivi, labda uwe umejikita kwenye biashara za kuzalisha si zakutoa Huduma maana wote naona wanaleta mawazo yakuzalisha.
Hii ni FREE CARWASH
_Naoshea maeneo ya posta hiyo 50,000/= inafikishwaa kwa siku 2 cash as profit na siku kama ya leo na kesho magari yapo full packed na wengi wametoka kuuatumia siku za weekend hata kwasiku moja if Odds in my side that day.
MCHANGANUO
_Hii biashara ipo hivi gari unaosha kwa 2000/= mpaka 10,000/= inategemea umemuoshea nani maana wanaosha mpaka ma Range Rover, V8 sasa mtu ukimuoshea anakupa tu “chukua hii 8000/= Nipigie maji” unajikuta kwa siku mbaya 30,000/= kawaida.
ENEO LA BIASHARA
_Posta maeneo ya Golden jebelee tower, kuna ofisi nyingi kubwa maeneo ya nje ndio inapofanyika Huduma hii ubaazi wa SERENA HOTEL unaosha magari non-stop kutwa mzima.
MTAJI
_Hii biashara haitaji Mtaji mkubwa kwasababu unahitaji vifaa ambayo madumu na vitambaa ILA kwenye inabidi ujiunge kwenye kikundi kwa 70,000/= hili uwe mwanachama nishawapa 20,000/= ndio nahaso iyo 50,000/= niwakamilishie.
_kwa kuongeza thamani ya Huduma nanunua matauro meupe na mafuta ya kunukia hata mteja unaweza mpandishia bei kwa Huduma stahiki.
UHALISIA
_Leo ndio natoka kuwapa 20,000/= nakupeleka dumu zangu asubui tu hata SAA 2 bado wakaamua wanipe nauri yakurudi kwakupewa gari moja nioshe nimekula 5000/= cash hiyo kabla ya saa 2 ijafika imagine kutwa nzima.
So, kwahuwo Mtaji wa 50,000/= ambao kwangu ni mtaji wa kujiunga uwanachama na kuonheza matauro na mafuta siku 2 tu naitengeneza.
NB: hii dunia ya leo mawazo ya kutoa Huduma yanapesa hata ukianza chini.
IDEA IN PROGRESS...NEED BACKUP CAPITAL
CONT : 0716321462
Faida kabla saa 2 leo.View attachment 1360449
Vifaa vya kazi
View attachment 1360451
Portfolio | 2020
Mbona amesema rudia kusoma kwenye kipengele Cha mtaji aya ya pili kasema kwa kuongeza thamani ya kazi yake atanunua matauro meupo na mafuta ya kunukia vitu ambavyo wengine hawanaUmetoa mchanganuo mzr wa namna mnavyoingiza pesa nyingi kwa kuosha magari na uzuri hakuna makato yyt yale.
Masikitiko yangu ktk andiko lako sijaona hata sehemu moja ukiandika namna ya kuongezea thamani ktk shughuli unayofanya ili kujitofautisha na wengine lkn pia kuleta tija kwa shughuli yako.
Ulifikiria hata siku moja kuzidi matarajio ya mteja/wateja wako? Ambao wanaosha wakijua wewe siyo car wash rasmi, kwahy utakuwa na changamoto kdg ukilinganisha na car wash yenyewe? Kwa kuwa surprise na vitu vdg Mara wanaporudi kwenye magari yao? Unaonaje ktk pesa unayopata ukanunua air freshener ,Polish ya dash board n.k ili umfurahishe zaidi mteja wako? Amini nachokwambia, ukijiongeza hv, wenzako kijiweni watakwambia una kizizi.
Sent using Jamii Forums mobile app
_kwa kuongeza thamani ya Huduma nanunua matauro meupe na mafuta ya kunukia hata mteja unaweza mpandishia bei kwa Huduma stahiki.
Portfolio | 2020
Umetoa mchanganuo mzr wa namna mnavyoingiza pesa nyingi kwa kuosha magari na uzuri hakuna makato yyt yale.
Masikitiko yangu ktk andiko lako sijaona hata sehemu moja ukiandika namna ya kuongezea thamani ktk shughuli unayofanya ili kujitofautisha na wengine lkn pia kuleta tija kwa shughuli yako.
Ulifikiria hata siku moja kuzidi matarajio ya mteja/wateja wako? Ambao wanaosha wakijua wewe siyo car wash rasmi, kwahy utakuwa na changamoto kdg ukilinganisha na car wash yenyewe? Kwa kuwa surprise na vitu vdg Mara wanaporudi kwenye magari yao? Unaonaje ktk pesa unayopata ukanunua air freshener ,Polish ya dash board n.k ili umfurahishe zaidi mteja wako? Amini nachokwambia, ukijiongeza hv, wenzako kijiweni watakwambia una kizizi.
Sent using Jamii Forums mobile app
12 mkuu nimekosea. ndio maana kwenye nitakachopata nimeandika 96 Elfu.
wap mkuu.nchek0685234870Mkuu chimbo ninalo la kuku
Idea yako nzuri Kuna watu hapa banana karibu na kanisa la winners chaper wapo watano huwa wanaingiza zaidi ya laki kwa siku hasa siku za week endwanakujaga kugawania hela nyumbani wakija kuhifadhi vifaa vyaoPortfolio | 2020
Kitu kizuri changamoto kilasehemu kunawatu wamekaa ukienda wanakukaataa wanaona unawwabbania.Idea yako nzuri Kuna watu hapa banana karibu na kanisa la winners chaper wapo watano huwa wanaingiza zaidi ya laki kwa siku hasa siku za week endwanakujaga kugawania hela nyumbani wakija kuhifadhi vifaa vyao
ilala?Hiyo 50000 naenda mnadani napoint handbag Kali za mtumba kila moja Bei 10000. Napata pochi Tano nazipiga picha safii natupia insta kwenye fekero langu la udaku kila moja 25000X5 napata 125000. Hizo nauwakika ndani ya week zimekwisha .
Naelewa hii biashara inalipa nishaifanya Sana ila Sasa nimeacha muda wa kupoint Sina inabidi udamke alfajir sana
Ndio au Tandikailala?