BILGERT
JF-Expert Member
- Feb 27, 2015
- 6,534
- 11,011
Kuwa umenimisi..tatzo unabadilisha saana ID..last time ulikuwa unaitwa Lovely momNiapie nini sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuwa umenimisi..tatzo unabadilisha saana ID..last time ulikuwa unaitwa Lovely momNiapie nini sasa
Naomba uniwekee wazo lake mkuu,niweze kulipitia..Maana uzi ndo nmeusoma leo..nmepitia juu juu saana.
Hiyo elfu 50 mchanganuo, wake kwa biashara ya mishikaki.
Naenda kwa Fundi kuchomelea aniandalie Jiko elfu 25,
Natafuta kijiwe kizuri sehemu wanayopita watu wengi,
--Sokoni nyama kg 2 steki tupu =16000,
--mkaa wa 1500
-Viungo vyake 5000(hiyo siyo vya siku moja ukinunua ni vingi mpaka viishe vitakaa kaa kidogo. )
-vijiti vile vistiki vyake 2000.
Naandaa mishikaki yangu ya wastani tu ya kuuza mia 2 mia 2 tu,
Kwenye kg 2 nina uhakika wa kupata faida ya 10K kila siku hapo baada ya kutoa matumizi ya mkaa, vijiti na Nyama.
Ndani ya wiki tayari nimekurudishia 50k yako.
NB:
Nilishawahi kufanya hii kazi hivyo nina uhakika nayo. Ndio kazi iliyonipa mtaji wa kibanda cha kuchakata viazi kuwa Chips.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba uniwekee wazo lake mkuu,niweze kulipitia..Maana uzi ndo nmeusoma leo..nmepitia juu juu saana.
umejipakulia minyama au sio
Kwa heshima kubwa nikushauri ubadili ID name sasa.Hiyo elfu 50 mchanganuo, wake kwa biashara ya mishikaki.
Naenda kwa Fundi kuchomelea aniandalie Jiko elfu 25,
Natafuta kijiwe kizuri sehemu wanayopita watu wengi,
--Sokoni nyama kg 2 steki tupu =16000,
--mkaa wa 1500
-Viungo vyake 5000(hiyo siyo vya siku moja ukinunua ni vingi mpaka viishe vitakaa kaa kidogo. )
-vijiti vile vistiki vyake 2000.
Naandaa mishikaki yangu ya wastani tu ya kuuza mia 2 mia 2 tu,
Kwenye kg 2 nina uhakika wa kupata faida ya 10K kila siku hapo baada ya kutoa matumizi ya mkaa, vijiti na Nyama.
Ndani ya wiki tayari nimekurudishia 50k yako.
NB:
Nilishawahi kufanya hii kazi hivyo nina uhakika nayo. Ndio kazi iliyonipa mtaji wa kibanda cha kuchakata viazi kuwa Chips.
Sent using Jamii Forums mobile app
Liko vyema mzee.Lakini umesema hilo ndo lilikuwezesha kupata mtaji wa chips..je unaeza elezea hiyo 50k nikikupatia utaiongezea kwenye chips? Maana sitegemei kama utaanza na mishikaki tena.
Mkuu kwa sasa nafikiria kupata fedha kiasi kadhaa niboreshe hilo wazo,Liko vyema mzee.Lakini umesema hilo ndo lilikuwezesha kupata mtaji wa chips..je unaeza elezea hiyo 50k nikikupatia utaiongezea kwenye chips? Maana sitegemei kama utaanza na mishikaki tena.
Nilisoma hii post kwa mara ya kwanza extensively, naomba radhi kwanza kwa kutokupa unachostahili!!Mimi si tajiri ila nataka kuwafundisha utu na ubinadamu matajiri walioko JF.
Nataka kijana mwaminifu mmoja kutoka Jf nimwazime 50 na airejeshe baada ya mwezi mmoja au miwili ili nimwazime mwingine.
Changanua wazo lako na weka namba ya simu kama utapenda kuiweka hapa Kisha members wengine watanisaidia kumchagua mtu sahihi.
Please huu sio mkopo kwa wanaojiweza kwa sababu hauna riba na utakuwa umedhulumu haki ya mwingine.
Masharti na vigezo vitazingatiwa. Mshindi atatakiwa kusubmit some of his/ her details PM.
Pesa nitamtumia au kumkabidhi Ijumaa 21/ Febuari/2020.
Shindano litadumu kwa siku 3 tu.
UPDATES
23:15 Jumatano, nimefunga shindano
Nashukuru kwa mliojitokeza kuwania hichi kiasi kidogo cha 50.
Niko busy kidogo na majukumu na washiriki ni wengi.
Ninaomba Jumamosi weekend ndio nipitie post to post ili kuleta haki.
Mshindi atatangazwa na nitampa pesa mkononi kama yuko Dar na kama yuko mkoani nitamtumia na ya kutolea.
Kila mwezi nitafanya kitu hichi na atakayetengeneza faida kubwa zaidi nitampa Pesa nyingi zaidi.
UPDATES
JUMAMOSI SAA 2:50 ASUBUHI
Nimeanza kufanya sorting,niko page number 3,leo hii hii mshindi atatangawa.
UPDATES
09:15 AM
Nimemaliza uchambuzi wa awali na kupata post 22 zenye nguvu zaidi.
Nakunywa chai kisha nimalizie kusort na kupata vijana 3 nitakaowaleta yenu, asanteni.
Updates
09:48 am
Saturday
Nimepata watu hawa, na uchambuzi unaendelea miongoni mwao.
Kama kuna mtu hajatendewa haki anaruhusiwa kuleta malalamiko within one hour.
Walioingia kwenye kinyang'anyiro ni;
1.Zero IQ post no.29
2.Zwenge Ndaba post no.
3.Noelia, post no.170
4.CONTROLA post no.175
5.Davie post no.236
6.Naipenda Familia yangu, post.#57
7.Peramiho Yetu post #30
8.FK21 post #147.
Updates
1930 hrs
Ninaomba radhi kwa kuchelewesha matokeo ya mwisho.
Sikuwa hewani kwasababu zilizo nje ya uwezo.
But nikitulia nitamaliza kazi leo hii hii na mhusika atapewa chake kwa kadri tutakavyokubaliana njia ya kumfikishia Pesa yake.
Updates
23: 50
Nawashukuru washiriki wote wa shindano hili dogo.
Ninatamani kila mshiriki nimpe pesa nyingi kwaajili ya wazo lake ila kamba yangu ni fupi.
Nawashukuru pia wasomaji na wachangiaji wa Uzi huu.
Washindi ni hawa wafuatao;
3: Zwenge Ndaba, katika post yake #208 inayoelezea biashara ya maziwa kutoka Chalinze kwenda Kibaha au Dar es salaam.
2.Peramiho Yetu, katika post yake #30 anaelezea biashara ya Mahindi mabichi ya kuchoma kutoka Stereo Temeke .
1:Napenda Familia Yangu, katika post yake #57 ameelezea biashara ya maandazi na half cake .
Mimi kwasasa nitaanza na kutoa zawadi kwa mshindi nambari 1.
Kwa atakayekuniunga mkono anaweza kuungana nami kuwapa mtaji washindi nambari 2 & 3 au kumwongezea mtaji mshindi nambari moja.
Note:
Nitaendeleza hili jambo kila baada ya mwezi mmoja na ninawashauri watakaokosa wajaribu tena.
Mshindi anione pm
Asante mkuu ila sijaelewa zinakuwa zimeganda au unaenda kugandisha mwenyewe?Kwa Dar es Salaam box [emoji403] wanauza elfu 8 zinakaa 30. Zinapatikana tazara kwa bakhresa
Sent using Jamii Forums mobile app
zero iq once again umetisha kinyamaMkuu kwa sasa nafikiria kupata fedha kiasi kadhaa niboreshe hilo wazo,
Kwanza nataka niuze mishikaki vizuri siyo local tena kama mwanzo,
Nataka nitafute sehemu nzuri niweke meza flani hivi nilishadizine,
Then kwa juu naweka katent flani hivi na bango kubwaa,
Hapo itakuwa ni mishikaki ya Nundu plus Nyama ,
Then pembeni kutakuwa na ndizi za kuchoma pamoja na kukaanga ,chachandu flani hivi ya kuvutia,
Mavazi ,nitakuwa na mavazi flani special Tshirt ya kuprint yenye logal mbele na maandishi Nyuma,chini laba flani hivi na jinsi Nyeusi ya kuchomekea(lengo kuwa Nadhifu muda wote wa kazi)
Nje ya meza kutakuwa na Viti vya kudizine vitakavyowezesha kukaa watu nane tu (kila upande watu wanne,)
Yaani nataka niifanye kiaina flani hivi ambayo ata wewe mwenye Suti yako usione Aibu kushuka kwenye gari yako kuja kununua mishikaki ,
hapo kwa haraka haraka mchanganuo wangu mpaka sasa ulikuwa hivi.
Hiyo meza niliyodizine nilishaongea na fundi inacost kama 300k (ni ya chuma alafu itakuwa na umbo kama L )
Carpet yake ya kutandika meza (vile ninavyotaka mimi)35.
Majiko mawili 80k (kubwa 45k, dogo la karahi 35k)
Karahi 1. 9k
Meza na viti vile navyotaka kudizine vitanicost 150k,
Chuma nne za kusimama 120k (kila moja 30k)
Za juu 40k ,turubahi la kuweka 30k (hapo tent ) fundi sijajua bado
So hapo kwa haraka haraka 800k - 900k inatosha Biashara itakuwa kama vile ninavyotaka mimi,
Nilishaweka kiasi kadhaa na bado nazidi kuweka Akiba, wazo langu halina haraka sana nategemea kuanza ikifika mwezi wa Sita hivi ,
Eneo ninalotegemea kuweka ni mapito ya watu wa aina tofauti
Biashara yenyewe.
Nitakapoanza biashara nategemea kuanza kwa bei ya kawaida tu ,
Kila mshikaki utauzwa shilingi 500,
Ndizi ya kuchoma shilingi 500,
Na ndizi ya kukaanga shilingi 400,
Pembeni ya jiko kutakuwa na mishikaki pia midogo ya shilingi mia 2, mia 2 kwa ajiri ya wanafunzi na watoto.
Ongezeko la bidhaa itaongezeka kulingana na ongezeko la wateja watakaokuwa wanakuja mfano.
Naweza kuweka mihogo,maziwa fresh kwa Jioni, maini na firigisi za kuku Nk.
ila tu sitaweka chipsi nataka nidili na hivyo Vitu tu na nitasimamia mwenyewe.
Nb.
Kwenye banda langu la kiepe kama kawa watu wapo wa kufanya kazi mimi binafsi nataka nigeukie huko kwanza
Cc Zero IQ
Sent using Jamii Forums mobile app
Amina.Nilisoma hii post kwa mara ya kwanza extensively, naomba radhi kwanza kwa kutokupa unachostahili!!
Hakika unatakiwa kupongezwa mno tena mno kwa ubunifu huu, yaaani nimesoma kwa kina nikagundua kitu kikubwa sana katika nafsi yako, baadhi ya nilichobaini kwako kupitia hili andiko ni
#1 unamoyo wa kusaidia pasipo kujali kipato chako, umeonyesha nia yako ya kusaidia pasipo kujali uwezo wako
#2 una nia ya kusaidia wajasiriamali, hapa ndo uliponigusa yaaani hujataka mbwembwe bali umehitaji mjasiliamali mwenye kuonyesha ubunifu wake, kupitia hli wazo watu wengi na wasio wajasiriamali wamejaribu kuja na wazo ikiwa na lengo la kutwaa mkwanja kwa kufanya hivyo wamejikuta wamekuja na wazo akilini mwao ambapo umewapa mtihani mwingine ili waendelee kuchekecha AKILI hongera sana!
Hakika jamii ingekuwa hivi au watu wa namna yako tungekuwa mbali mno, unfeigned I eulogize this idea, Bravo! Am so proud of this speaking not in a clandestine situation, thanks and be blessed na MWENYEZI Mungu akubariki na kukuongezea kipato chako ndg!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ninashida na mashudu ya alizeti naweza kuyapata kwa wingi?
Ndio unayapata, upo wapi na utanunua sh ngp kwa kilo??
Huku nlipo naweza kuyapata nkapakia na kuyaleta.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuwa umenimisi..tatzo unabadilisha saana ID..last time ulikuwa unaitwa Lovely mom
[emoji23][emoji23]naona unachangamkia fursa zoteee
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23]naona unachangamkia fursa zoteee
Dah!!we jamaa nomaBonde la Baraka,
naona unataka kupata wazo la biashara ili ijumaa ukakope 50 vicoba