Peramiho yetu
JF-Expert Member
- May 25, 2018
- 5,303
- 14,983
Mkuu mm ntaleta mrejesho wangu sitawaangusha juu ya hili binafs upande wangu mambo s mabaya kiviile japo changamoto ya covid19 imetetemesha kidogo ila nimesimama tenaMrejesho jamani....!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu mm ntaleta mrejesho wangu sitawaangusha juu ya hili binafs upande wangu mambo s mabaya kiviile japo changamoto ya covid19 imetetemesha kidogo ila nimesimama tenaMrejesho jamani....!
Mkuu mm ntaleta mrejesho wangu sitawaangusha juu ya hili binafs upande wangu mambo s mabaya kiviile japo changamoto ya covid19 imetetemesha kidogo ila nimesimama tena
Wapi huko mdada?Kuna sehemu wale wakaanga ndizi kwenye mabanda ya chips huwa wanapata tabu kuzipata zile ndizi ndefu kubwa(mzuzu),,, sasa Kuna mahala zile zinapatikana kwa wingi, na huko zinanunuliwa sh 50 kila moja mara usafiri na vingine zinafika sokoni kwa sh 80 mpaka 90 kwa kila moja, na huwa zinachukuliwa kwa bei ya jumla 200 mpaka 250 kila moja.... Kwahiyo mtu hapo anaweza kutengeneza hiyo elfu 50 sio mwezi Bali tuchukulie wiki mbili tu maximum
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mkoa gani huo wananunua hiyo kwa bei hiyo?Vumbi la Kongo!
Wanaume Wengi wana matatizo ya nguvu za kiume na wanahitaj sana huduma hiyo. Kwahyo hii ni biashara inayolipa sana mtu ukiifanya serious.
Mimi ni mwanaume wa mkoani na nimefanya tafiti nikagundua uhitaji ni mkubwa sana na hakuna supplier wa huku huku.
Sasa basi,
Kwa hiyo 50k nitaagiza mzigo kutoka Dar kwa bei ya jumla ambapo sasa kichupa kimoja nitanunua sh. 5000.
Chupa 10x5000=50k
Then nitatumiwa parcel kwa basi la shabiby na gharama yake ni 5000 (hii nitatoa mfukoni).
Hapo sasa nitaanza kusupply kwa wateja ambao nitakuwa nawauzia kwa 15k kwa chupa moja. Net profit hapo ni 10k.
Nikimaliza chupa Zote 10 nitakuwa na 150k huku net profit Ikiwa 100k.
Nitawapataje wateja sasa?
Mitandaoni!
Tayari Nina akaunti Instagram na Facebook na twita ambapo natangaza hii biashara ingawa bado sijaanza kuuza kutokana na changamoto ya mtaji.
Response ya wateja ni kubwa mno. Kwa siku wananitafuta watu sio Chini ya 10.
Naombeni mtaji ndugu zangu nijikomboe
Kulikoni mkuuBiashara ya chips sina hamu nayo bora nukapige konyagi kama niniliuu yule
Sent from my TECNO WX3 using JamiiForums mobile app
Labda anamaanisha kuku chomaHiyo 50 haitoshi
Mkuu, Mimi hapa ukinipatia Mtaji wa TZS 50,000 nitairejesha baada ya Miezi mitatu na nitaiwekeza katika huduma/biashara ya hii hapa chini:
Kwa shilingi elfu 50 utakayonipatia nitawekeza TZS 25000 kwenye kusajili jina la biashara brela na TZS 25000 kwenye kusajili domain name ambamo taarifa hzio zitawekwa.Mimi binafsi nitachangia gharama za kufanya hosting pamoja na gharama za kupata leseni ya biashara,gharama za nauli na uendeshaji kwa kipindi cha mwanzo.Iwapo utapenda kuwekeza zaidi katika biashara hii ili tuweze kuwa wabia tunaweza kujadili zaidi kwani wazo hili linahitaji mtaji wa TZS milioni 75 na lina potential ya kuleta mapato ya hadi milioni 150 kupitia huduma,matangazo commision n.k.
- Nitaanzisha taasisi ambayo italenga kutoa huduma kwa wenye nyumba na wapangaji ambayo sio real estate agent bali ni zaidi kwa ajili ya kuwasaidia wapangaji kufahamu ubora wa nyumba kwa kuzifanyia nyumba grading,mitaa grading kwa kutumia vigezo vya kitaalam.Na nitaanza kwa kutoa huduma hio kwa jiji la Dar es Salaa kwanza.Gharama ya huduma hio itakuwa ni nafuu ambapo mwenye nyumba atalipia kisha Mpangaji akitaka kufahamu iwapo nyumba au eneo husika limefanyiwa utafiti atapatiwa ripoti ya eneo husika.
- Ripoti hizo zitakuwa za kiswahili na zitaonesha,wastani wa gharama za maisha,ikiwamo kodi chakula,maji umeme.Uwepo wa huduma za elimu afya na burudani,vituo vya polisi,mawasiliano ya viongozi wa eneo husika,usalama na uhalifu.Fursa za ajira zilizopa maeneo ya karibu.Fursa za biashara zilizopo maeneo hayo.
- Vilevile mpangaji anaweza kuomba kufanyiwa utafiti huo kabla ya kuhamia eneo fulani.
- Kwa kupitia taarifa hio tunaweza kupima na kutoa taarifa juu ya maeneo mazuri kabisa kuishi na maeneo mabaya kabisa kuishi na pia taarifa yetu itakusaidia kufahamu fursa na changamoto za kila eneo bila kujali umbali wa eneo.
NB.Unaweza kutekeleza wazo hili ila hakikisha unawasiliana na mimi kwanza
Ni wapi huko mkuu,, naomba kuelekezwa kama hautojaliKuna sehemu wale wakaanga ndizi kwenye mabanda ya chips huwa wanapata tabu kuzipata zile ndizi ndefu kubwa(mzuzu),,, sasa Kuna mahala zile zinapatikana kwa wingi, na huko zinanunuliwa sh 50 kila moja mara usafiri na vingine zinafika sokoni kwa sh 80 mpaka 90 kwa kila moja, na huwa zinachukuliwa kwa bei ya jumla 200 mpaka 250 kila moja.... Kwahiyo mtu hapo anaweza kutengeneza hiyo elfu 50 sio mwezi Bali tuchukulie wiki mbili tu maximum
Sent using Jamii Forums mobile app
Simjibii.Ni wapi huko mkuu,, naomba kuelekezwa kama hautojali
Shukrani Sana mkuuSimjibii.
Ila Ifakara huko ndani ndani esp Mbingu mikungu Bei kama bure .2000-4000!Kuna dogo aliniomba June hii nimtaftie soko sijatulia sijamtafutia. Ana mashamba mikungu haina pa kwenda!
Mtu wangu sijui anaendeleaje ? kama amefanikiwa atujulishe ili na wengine wapate.Tunasubiri Mrejesho Wakuu na sisi tutangaze nia ya kuazimwa.. 🤗
Tuko nje ya muda, Dirisha lilipaswa kuwa limeshafunguliwa..
Mkuu Bonde la Baraka umesitisha mpango wa kuzungusha mtaji?
Tunasubiri Mrejesho Wakuu na sisi tutangaze nia ya kuazimwa.. 🤗
Tuko nje ya muda, Dirisha lilipaswa kuwa limeshafunguliwa..
Mkuu Bonde la Baraka umesitisha mpango wa kuzungusha mtaji?
Mange hemu anzisha yako hata ya 30,000 Tzs tu tupaje hata mada ya kuchangia changia angalau...anzisha watu watililike.Ilikua platform nzuri Sana...nataman atokee mtu a-base kwenye gender ya kike walah! Kumkomboa mtoto wa kike🤭!sema ndo hivyo wabongo hatuna userious huoo!
Sina kipaji boss wangu... anzisha tu wewe... Bora iwe 500k!Mange hemu anzisha yako hata ya 30,000 Tzs tu tupaje hata mada ya kuchangia changia angalau...anzisha watu watililike.
Sina kipaji boss wangu... anzisha tu wewe... Bora iwe 500k!
Ila kwa jicho ambalo sio la kinafki wabongo wengi hatupo serious...!
Tuna ideas kibaooo...kuziimpliment Sasa🤸!
Means mtu apewe laki 5 then atakuwa anafatiliwa anaendeleaje na biashara zake ..!asirudishe na riba...! Mo kafanyaje tenaHee kipaji gani tena.
Haha uanzishe ya 500K sikutachafuka humu kama kule Twitter alivyochafua watu MO.
Haha Twitter yote ukiingia unakuta mimi nafuga kuku, mie nasambaza rasta, mie bodaboda.Means mtu apewe laki 5 then atakuwa anafatiliwa anaendeleaje na biashara zake ..!asirudishe na riba...! Mo kafanyaje tena