Uthubutu: Kijana atakayeelezea jinsi atakavyoizalisha elfu 50 ndani ya mwezi mmoja nitamkopesha bila riba

Ilikua platform nzuri Sana...nataman atokee mtu a-base kwenye gender ya kike walah! Kumkomboa mtoto wa kike🤭!sema ndo hivyo wabongo hatuna userious huoo!
Hata wewe ni mtu Mkuu wangu, Get it done.

Mkuu Kama seriousness ingekuwa SI unit ya mafanikio, basi tungekuwa watu kibao waliofanikiwa kitaa..

Kuna a lot of hard workers kitaa yet they don't make it..

Na huwezi tenganisha hard working na seriousness kwa sehemu kubwa..

Ni kweli tuna watu ambao hawako serious, lakini tuna serious people wanayumba sana.

Kwa sehemu kubwa, serious people wasiofanikiwa wanasumbuliwa na ukosefu wa virutubisho vya kutamani kupata taarifa sahih(e.g uhitaji, soko, usambazaji, ushindani, risks n.k) juu ya mawazo waliyonayo na kuishia kuhisi... Hata utekelezaji wake unakuwa wa kuhisihisi...

Hata wazungu wanatupiga gap kwenye kutafuta tĆ arifa sahihi.. Wanawekeza resources kibao kupata taarifa sabb hawatak ubabaishaji..

Kama ungekuwa part of my rescue team ningekuagiza, nenda kawafanye watu kuwa serious lakini usiishie hapo...
 
Basi tuseme tunaridhika Sana na umaskini tulionao..au tusemeje! šŸ˜„šŸ˜„! Tuishie hapa tunatoka nje ya mada
 
MREJESHO

HAHARI WAKUU

Bado. Nandelea kutoa updates za wapi nilipofikia kwa kias kile cha tsh 50000/= kama mshindi wa pili wa shindano hill

Kwanza wakuu kile kijiwe au ofisi ya mahindi ya kuchoma nimemuachia mdogo wangu kwa maana ya jiran ambaye tumetokea kijiji kimoja huko mkoani kwetu RUVUMA hiki nimempa kiwe chake kabisa kwanini nimempa?_Hii n baada ya Mimi kupata mtaji kutokana na hii biashara hivyo nilianza ufugaji wa kuku watano niliongeza wengine kumi na tano na kuwa jumla kuku 20 wote n makoo kuku kumina mbili wameshatotoa vifaranga ambavyo jumla ya vifaranga n 98 na watano bado wanataga hawa watatu bado hawajaanza kutaga kwa hesabu za harakaharaka nategemea had kufika mwezi wa kumi na mbili naweza kuwa na kuku 170 had 200 na mabanda nimeongeza

Kuna Dogo mmoja n muhitimu wa chuo cha mifugo huko arusha ndio anayenishauri na kunipa miongozo ya ufugaji kiukweli had sasa sijapoteza kifaranga hata kimoja na n wiki y tatu toka kuku wangu watotoe alinipa mbonu ya kuku kutotoa kwa kutopishana siku nyingi na kwel hawa wamepishana siku 5/tu

Nilibadili biashara ya kuchoma mahindi mwezi wa tano mwishoni na kuangalia fursa nyingine kuna jamaa alinipa ushauri wa kununua viatu vya watoto na wadada yaan hizi jamii ya yeboyebo na sandals zenye jamii hyo na kipeleka kusini mtwara na lindi mtaji wangu ulikuwa laki 2 tu na mwezi wa tano mwishon niliingia kariakoo na wataalamu wanayoyajua machimbo ya bei rahis kuna Uzi humu upo ambao unaelezea wafanyabiashara wa mikoani ambao wanahitaji kujua machimbo ya vitu kariakoo nami nikampm mwana naye bila ubish akanisaidaia sandals ambayo huku mtaani huuzwa elfu 3 kule chimbo nilikuta bei ya kawaida sana tsh 1500 ukianzia kuchukua. Kumi na nyingine nyingi

Hapa ninavyoandika nimekuja kariakoo trip kama 3 kufunga mzigo kiukweli biashara ipo kikubwa ni kuwa na uso wa mbuzi huku nimekutana na maclassmate ambao wameajiriwa sekta nono tu unaweza ukaona aibu lakn nayajua maisha Yangu na shida nilizopitia hivyo nakaza hadi mwisho

Huku kusini kuna misimu miwili ya mavuno kuna ufuta na korosho hivyo mwezi huu n ufuta na mwezi wa nane naambiwa korosho pia kwa sasa nipo maeneo ya KILWA ambako ufuta unavunwa sana baada ya hapo mwenyeji wangu kaniambia tutaelekea TANDAHIMBA korosho zitakuwa zinavunwa

Sijaandika haya kama kuonesha eti nimefankiwa hapana n jinsi kuonesha uthubutu wa kama kijana kijiwe cha mahindi kilikuwa kama daraja kwangu nimekutana na wengi ambao wamenipa ushaur mbalimbali lakn niliuchukua huu wa kuanza kusafir na vijibiashara hvi

Kuku wangu wanahudumiwa na huyo Dogo afisa mifugo naye tunatoka naye kijj kimoja huko songea nimeona nikae nae hapo kwan nyumba n kubwa na mwenye nyumba ambaye n bro angu yupo nje kimasomo kipind nayeye anapambana na ajira BA's apate pakukaa bure

Sina mengi wakuu nikirudi ntawaonyesha picha ya kuku na mabanda ambayo nimeongeza

KARIBUNI KWA MAONI
 
Hongera mkuu, hiyo mbinu ya kutotolesha vifaranga bila kupishana siku nyingi naomba uishee hapa kama hautojali
 
safi sana mwana
 
Kuridhika definitely..

Mfano, Namfaham Muuza karanga za kukaanga mmoja kwa miaka kadhaa sasa..

Miaka yote huwa namuona na deli lilelile, mzigo size ileile, anapga route zilezile, na vingine vingi vilevile...

Scaling sio habari kwake...

Kweli tuishie hapa tusije endelea toka nje ya mada ambayo so far imekwama...

Kindly Mkuu Wangari Maathai tumia ushawishi wako kwenye jukwaa la biashara, mshawishi Mkuu Bonde la Baraka arejee maana ni bonge la mada.

Bonde la Baraka njoo kaka huku!
 
MREJESHO

HAHARI WAKUU

Bado. Nandelea kutoa updates za wapi nilipofikia kwa kias kile cha tsh 50000/= kama mshindi wa pili wa shindano hill

Kwanza wakuu kile kijiwe au ofisi ya mahindi ya kuchoma nimemuachia mdogo wangu kwa maana ya jiran ambaye tumetokea kijiji kimoja huko mkoani kwetu RUVUMA hiki nimempa kiwe chake kabisa kwanini nimempa?_Hii n baada ya Mimi kupata mtaji kutokana na hii biashara hivyo nilianza ufugaji wa kuku watano niliongeza wengine kumi na tano na kuwa jumla kuku 20 wote n makoo kuku kumina mbili wameshatotoa vifaranga ambavyo jumla ya vifaranga n 98 na watano bado wanataga hawa watatu bado hawajaanza kutaga kwa hesabu za harakaharaka nategemea had kufika mwezi wa kumi na mbili naweza kuwa na kuku 170 had 200 na mabanda nimeongeza

Kuna Dogo mmoja n muhitimu wa chuo cha mifugo huko arusha ndio anayenishauri na kunipa miongozo ya ufugaji kiukweli had sasa sijapoteza kifaranga hata kimoja na n wiki y tatu toka kuku wangu watotoe alinipa mbonu ya kuku kutotoa kwa kutopishana siku nyingi na kwel hawa wamepishana siku 5/tu

Nilibadili biashara ya kuchoma mahindi mwezi wa tano mwishoni na kuangalia fursa nyingine kuna jamaa alinipa ushauri wa kununua viatu vya watoto na wadada yaan hizi jamii ya yeboyebo na sandals zenye jamii hyo na kipeleka kusini mtwara na lindi mtaji wangu ulikuwa laki 2 tu na mwezi wa tano mwishon niliingia kariakoo na wataalamu wanayoyajua machimbo ya bei rahis kuna Uzi humu upo ambao unaelezea wafanyabiashara wa mikoani ambao wanahitaji kujua machimbo ya vitu kariakoo nami nikampm mwana naye bila ubish akanisaidaia sandals ambayo huku mtaani huuzwa elfu 3 kule chimbo nilikuta bei ya kawaida sana tsh 1500 ukianzia kuchukua. Kumi na nyingine nyingi

Hapa ninavyoandika nimekuja kariakoo trip kama 3 kufunga mzigo kiukweli biashara ipo kikubwa ni kuwa na uso wa mbuzi huku nimekutana na maclassmate ambao wameajiriwa sekta nono tu unaweza ukaona aibu lakn nayajua maisha Yangu na shida nilizopitia hivyo nakaza hadi mwisho

Huku kusini kuna misimu miwili ya mavuno kuna ufuta na korosho hivyo mwezi huu n ufuta na mwezi wa nane naambiwa korosho pia kwa sasa nipo maeneo ya KILWA ambako ufuta unavunwa sana baada ya hapo mwenyeji wangu kaniambia tutaelekea TANDAHIMBA korosho zitakuwa zinavunwa

Sijaandika haya kama kuonesha eti nimefankiwa hapana n jinsi kuonesha uthubutu wa kama kijana kijiwe cha mahindi kilikuwa kama daraja kwangu nimekutana na wengi ambao wamenipa ushaur mbalimbali lakn niliuchukua huu wa kuanza kusafir na vijibiashara hvi

Kuku wangu wanahudumiwa na huyo Dogo afisa mifugo naye tunatoka naye kijj kimoja huko songea nimeona nikae nae hapo kwan nyumba n kubwa na mwenye nyumba ambaye n bro angu yupo nje kimasomo kipind nayeye anapambana na ajira BA's apate pakukaa bure

Sina mengi wakuu nikirudi ntawaonyesha picha ya kuku na mabanda ambayo nimeongeza

KARIBUNI KWA MAONI
Shukran sana kwa MREJESHO UMETUPA MOYO endelea kupambana usihofu pia kuweka wazi changamoto pamoja na mafanikio kumbumbuka wapo wenzetu humu nao wanajifunza.

Nikutakie mafanikio mema ila hilo la kuwaachia wadogo miradi na kuanzisha mradi mwingine kabla ya kufikia malengo au mafanikio tarajiwa linanipa MASHAKA MAKUBWA.

Usimamizi au managent ni key factor ya mafanikio ya mradi wowote unahitaji commitment ya hali ya juu sana hasa mwanzo na hii itapatikana tu toka kwa mmiliki mwenyewe wa mradi.
 
Shukran mkuu

Kwa wasiojua huyu ndye aliyenifinance huu mtaji

Niende kwenye mada nikweli mkuu miradi inahitaji usimamizi mkubwa naanza na hyo miradi

MRADI WA MAHINDI CHOMA

Hapo juu nimeeleza jinsi huu mrad ulivyonipa mtaji wa kufungua miradi miwili ambayo n ufugaj wa kuku 20 ambao wameongezeka had kufikia 118 kwa maana ya 20 kuku nilionunua na 98 vifaranga ambao wametotolewa mradi wa pili ndio huu ambao nipo nao huku KIkoshiradi wa Viatu vya watoto na wa dada

Mradi huu wa mahind nimempa mdogo wangu ili naye aweze kuendesha maisha n MTU wangu wa karbu amenisaidia kwa mengi bahat mbaya naye mambo hayakumuendea vizuri hvyo kwakuwa mm nimeanza biashara nyingne nimeona bora naye apate kwakujshkiza HVYO HUU MRADI SIUMILIKI

MRADI WA KUKU.

Hapa ndipo roho Yangu ilipo wakuu ndio maana nikamtafuta na mtaalam kabisa wa fani husika ili anisaidie mawazo ya kitaalam Usimamizi wa mrad huu kwa sasa si mgumu sana kwa vile bado sjaanza kufanya biashara nna utaratbu wa kijua idadi ya kuku. Wangu kupitia daftar maalum ambacho nimeliandaa na kama mjuavyo kuku wanahesabika sio kama sukar au chumvi n rahs kijua kama kuku wamepungua hapo nitakapoanza kuvuna nitakuwa making zaidi kwan biashara ya viatu n ya msimu tu

BIASHARA YA VIATU

Hii n ya msimu tu kwan had kufika septemba mwishon itakuwa imejifunga kabisa nam nitarud nyumban kupambana na biashara ya kuku lakn pia kama fursa nyingne itajitokeza sitasita kuingia huko ilimrad mtaji wangu isikae mda mrefu bila kujizungusha maana njaa ya mafanikio kwangu n kubwa sana

Nikutoe hofu juu ya usimamizi

CHANGAMOTO

Dah wakuu changamoto n nyingi baadhi n kutapeliwa na member wa humu jf wakati nachoma mahind tandka alinieleza ana mzigo wa mahindi hvyo huko uzaramuni kisarawe nimtumie nauli tu ya kusafirishia mzigo kama tsh 10000/= mwamba akapotea mazima

Wakopaji hawakosekan hao nao wakishakopa Mara mbil tatu na njia wanabadilisha tena unakuta unamdai tsh 800 tu

Kuchukuliana poa kuna nadharia kuwa ss wachuuzi yaan wafanya biashara ndondogo n watu tusioenda shule tumefel maisha hasa mabint so inahtaji uchukulie kawaida na upambane ukiwa blaza meni biashara utaiona ngumu hapa mm nakutana na wenzangu ambao nimemaliza nao chuo lakn nakaza roho tu nikiamin IPO simu

Biashara kukosa Wateja hii n kawaida siku nyingne unaweza ukarud na nusu ya mzigo kwakukosa Wateja hiyo n kawaida na mwenzako jiran akamaliza mzigo wote ukiwa na roho nyepesi waweza tafuta mganga ili umroge mwenzio

Mwisho ushawishi wa imani za kishirikina mfano kuna siku nilikuta hirizi inapumua kijiwen kwangu pamoja na naz iliyovunjwa ikiwa na maandishi ya kiarabu lakn nilichukulia kawaida

MWISHO

Mkuu silicon valley nikupe pongez sana kwakuniinua na Mungu akupe moyo huo huo wa kusaidia wengine

Shukran sana kwa MREJESHO UMETUPA MOYO endelea kupambana usihofu pia kuweka wazi changamoto pamoja na mafanikio kumbumbuka wapo wenzetu humu nao wanajifunza.

Nikutakie mafanikio mema ila hilo la kuwaachia wadogo miradi na kuanzisha mradi mwingine kabla ya kufikia malengo au mafanikio tarajiwa linanipa MASHAKA MAKUBWA.

Usimamizi au managent ni key factor ya mafanikio ya mradi wowote unahitaji commitment ya hali ya juu sana hasa mwanzo na hii itapatikana tu toka kwa mmiliki mwenyewe wa mradi.
 
Naona ni Peramiho yetu pekee ambaye ni mshindi wa pili ndiye aliyefanikisha kutupa mrejesho tangu alipoanza biashara. Wengine aidha walitoa wazo lkn hawakuwa wajasiriamali au ni vp.

Mimi pia nitakuwa tayari kusupport Tshs. 50,000 na irudishwe bila riba baada ya mwezi mmoja kwa washindi wa shindano jingine pindi litakapotangazwa.
 
Hili wazo lenye uhalisia sana na ndio ninaloliendea sasahivi, labda uwe umejikita kwenye biashara za kuzalisha si zakutoa Huduma maana wote naona wanaleta mawazo yakuzalisha.

Hii ni FREE CARWASH
_Naoshea maeneo ya posta hiyo 50,000/= inafikishwaa kwa siku 2 cash as profit na siku kama ya leo na kesho magari yapo full packed na wengi wametoka kuuatumia siku za weekend hata kwasiku moja if Odds in my side that day.

MCHANGANUO
_Hii biashara ipo hivi gari unaosha kwa 2000/= mpaka 10,000/= inategemea umemuoshea nani maana wanaosha mpaka ma Range Rover, V8 sasa mtu ukimuoshea anakupa tu ā€œchukua hii 8000/= Nipigie majiā€ unajikuta kwa siku mbaya 30,000/= kawaida.

ENEO LA BIASHARA
_Posta maeneo ya Golden jebelee tower, kuna ofisi nyingi kubwa maeneo ya nje ndio inapofanyika Huduma hii ubaazi wa SERENA HOTEL unaosha magari non-stop kutwa mzima.

MTAJI
_Hii biashara haitaji Mtaji mkubwa kwasababu unahitaji vifaa ambayo madumu na vitambaa ILA kwenye inabidi ujiunge kwenye kikundi kwa 70,000/= hili uwe mwanachama nishawapa 20,000/= ndio nahaso iyo 50,000/= niwakamilishie.
_kwa kuongeza thamani ya Huduma nanunua matauro meupe, mafuta Air freshener, Polish ya dash board n.k ili kumfurahisha zaidi mteja hii itafanya niweze kumpandishia bei mteja na kupata faida maradufu.

UHALISIA
_Leo ndio natoka kuwapa 20,000/= nakupeleka dumu zangu asubui tu hata SAA 2 bado wakaamua wanipe nauri yakurudi kwakupewa gari moja nioshe nimekula 5000/= cash hiyo kabla ya saa 2 ijafika imagine kutwa nzima.

So, kwahuwo Mtaji wa 50,000/= ambao kwangu ni mtaji wa kujiunga uwanachama na kuonheza matauro na mafuta siku 2 tu naitengeneza.

NB: hii dunia ya leo mawazo ya kutoa Huduma yanapesa hata ukianza chini.

IDEA IN PROGRESS...NEED BACKUP CAPITAL

Faida kabla saa 2 leo.View attachment 1360449

Vifaa vya kazi
View attachment 1360451

Portfolio | 2020
October man vipi uliweza kupata mtaji wa hii biashara?
 
Simjibii.
Ila Ifakara huko ndani ndani esp Mbingu mikungu Bei kama bure .2000-4000!Kuna dogo aliniomba June hii nimtaftie soko sijatulia sijamtafutia. Ana mashamba mikungu haina pa kwenda!
Ndizi za aina gani? Na vipi wa mikoani wanazingatiwa? Kama ndio au hapana vipi kuhusu suala la usafiri huko kunafikika kirahisi?
 
Back
Top Bottom