MVB Jr
JF-Expert Member
- Sep 16, 2016
- 489
- 1,553
Hata wewe ni mtu Mkuu wangu, Get it done.Ilikua platform nzuri Sana...nataman atokee mtu a-base kwenye gender ya kike walah! Kumkomboa mtoto wa kikeš¤!sema ndo hivyo wabongo hatuna userious huoo!
Mkuu Kama seriousness ingekuwa SI unit ya mafanikio, basi tungekuwa watu kibao waliofanikiwa kitaa..
Kuna a lot of hard workers kitaa yet they don't make it..
Na huwezi tenganisha hard working na seriousness kwa sehemu kubwa..
Ni kweli tuna watu ambao hawako serious, lakini tuna serious people wanayumba sana.
Kwa sehemu kubwa, serious people wasiofanikiwa wanasumbuliwa na ukosefu wa virutubisho vya kutamani kupata taarifa sahih(e.g uhitaji, soko, usambazaji, ushindani, risks n.k) juu ya mawazo waliyonayo na kuishia kuhisi... Hata utekelezaji wake unakuwa wa kuhisihisi...
Hata wazungu wanatupiga gap kwenye kutafuta tĆ arifa sahihi.. Wanawekeza resources kibao kupata taarifa sabb hawatak ubabaishaji..
Kama ungekuwa part of my rescue team ningekuagiza, nenda kawafanye watu kuwa serious lakini usiishie hapo...