Uthubutu ulivyowanyanyua Bashite na Sabaya

AeIoU

Senior Member
Joined
Mar 14, 2008
Posts
178
Reaction score
139
Uthubutu ni jambo zuri sana haswa likifanywa kiuhalali.

1. Daudi Albert Bashite alithubutu kujifanya yeye ni Paul Christian Makonda which is a crime. Lakini mwendazake alimpandisha na kumzawadia ukuu wa mkoa DSM.

2. Lengai Ole Sabaya alithubutu kufoji na kutengeneza kitambilisho feki kuwa yeye ni mwajiriwa wa TISS which is a crime. Lakini mwendazake alipuuza na kumkabidhi ukuu wa wilaya.

3. Albert Chalamila alithubutu na kujidai mripukaji alichokipata ni fedheha.

Point to take politics is very dynamic... it change from time to time and from one leadership to another!!!

Mama Yetu nakusalimia kwa jina la Jamhruri ya Muungano! Na kazi iendelee!

Ahsante naipenda Tanzania.
 
Case ya Makonda started way back, refer ngumi aliyopigwa mzee Warioba.
 
^Uzuri wa jambo lolote uko katikati, na hapa tulipo hata katikati kwenyewe hatujapafikia^ ~ Dkt. 🙂 Steven Kanumba
 
Case ya Makonda started way back, refer ngumi aliyopigwa mzee Warioba.
Achana na hilo. Ile issue ya Marekani, kwa nchi zinazoheshimu utawala bora, na haihusiki na kudhurumu uhai wa watu, lazima wangewaomba hao Marekani walete ushahidi. Inawezekana, tunahangaika kuwatafuta WASIOJULIKANA, kumbe yeye ni mmoja wao!
 
Na kwanini ccm wamenyaza?

Si Ajabu wasiojulika...... ccm
 
Uthubutu ni jambo zuri sana haswa likifanywa kiuhalali.

1. Daudi Albert Bashite alithubutu kujifanya yeye ni Paul Christian Makonda which is a crime. Lakini mwendazake alimpandisha na kumzawadia ukuu wa mkoa DSM.

2. Lengai Ole Sabaya alithubutu kufoji na kutengeneza kitambilisho feki kuwa yeye ni mwajiriwa wa TISS which is a crime. Lakini mwendazake alipuuza na kumkabidhi ukuu wa wilaya.

3. Albert Chalamila alithubutu na kujidai mripukaji alichokipata ni fedheha.

Point to take politics is very dynamic... it change from time to time and from one leadership to another!!!

Mama Yetu nakusalimia kwa jina la Jamhruri ya Muungano! Na kazi iendelee!

Ahsante naipenda Tanzania.

20210513_202043.jpg
 
Meko alikua anapenda watu wehu kama yeye
 
Back
Top Bottom