Usiseme 'Sisi' bali sema Mimi / Wewe kwani nina uhakika wa 100% kuwa Watanzania 'hatujakuteua' Mtu 'Popoma' kama Wewe uwe Msemaji wetu.
Hata wewe usisema waganda sema baadhi ya waganda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usiseme 'Sisi' bali sema Mimi / Wewe kwani nina uhakika wa 100% kuwa Watanzania 'hatujakuteua' Mtu 'Popoma' kama Wewe uwe Msemaji wetu.
Mtani hiki kilemba cha ukoka umekuja nacho, au ulikuwa nacho muda mrefu?
Nipe hiyo Idadi ya hao Watanzania wako 'unaowasemea' hapa kuwa 'hawamkubali' Rais Dkt. Magufuli kati ya Watanzania Milioni 55+ waliopo sasa.
Hata wewe usisema waganda sema baadhi ya waganda
Naona kuna 'Jibu' unalitafuta kutoka Kwangu endelea tu 'Kunitibua' huu 'Ubongo' wako nikupe kisha uanze Kulia na Kunilaumu. Kuwa makini sawa?
Ishu ya corona tumebebwa na Hali ya kitropical sababu ya joto
Mungu gani uyo?Jpm anampenda Mungu. Na hiki ndicho kinampa sifa kubwa Tanzania na duniani kwa ujumla
Mshukuru mungu kwenye Corona, Watu wasio ujua ugonjwa wa Corona ndio wanao msifu MagufuliWatanzania najua baadhi yetu tunaweza ama tukawa hatujui 'Thamani' ya Rais Dkt. Magufuli au 'Umuhimu' wake Kwetu ila itoshe tu kusema kwamba pamoja na kwamba 'Kibinadamu' anaweza akawa na 'Mapungufu' yake kama niliyonayo Mimi GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE ila kwa Tanzania 'Kumpata' Kiongozi kama Yeye ( JPM ) ni kama vile Mwenyezi Mungu 'ametupendelea' sana tu.
Leo asubuhi kupitia Kipindi cha BBC News ( Africa ) kinachoruka Kuanzia Saa 1 na Nusu hadi Saa 2 Kamili ( Redioni ) nilibahatika kuwasikia Viongozi mbalimbali wa 'Kidini' na Wananchi kadhaa ( waliowawakilisha ) Wenzao ( Waganda ) katika 'Mjadala' mkubwa uliokuwa 'Mezani' wa Janga la CORONA na namna nzima ya 'Kukabiliana' nalo.
Mazunguzo ya 'Kimjadala' yalikuwa ni mengi na yenye 'Tija' na 'Mantiki' ila katika kila 'Mzungumzaji' aliyekuwa akichangia wote walikuwa 'wakimpongeza' sana Rais wa Tanzania Dkt. Magufuli kwa 'Kupambana' Kwake juu ya Janga la CORONA huku 'wakimshutumu' wazi wazi Rais wao Mzee Museveni kuwa 'ameshindwa' na kwamba kazidiwa mbali na Rais Magufuli.
Mwishoni kabisa Wote 'walisikika' wakisema kuwa laiti kungekuwa kuna uwezekano wa 'Kukopana' Marais hata kwa muda fulani tu basi kwa 'Taabu' ambazo wanazipitia sasa 'Waganda' na Maisha magumu 'waliyonayo' tokea Janga hili la CORONA lianze huku 'wakizuiwa' Kufanya Shughuli zao mbalimbali za 'Kiuchumi' basi wangetuomba Watanzania 'tuwakopeshe' Rais wetu huyu Dkt. Magufuli.
Kwa 'Kuhitimisha' Kwao tu Viongozi hao wa 'Dini' na Wananchi wa Uganda 'wamemtaka' Rais wao Mzee Museveni 'ayaige' mengi ya Rais Wetu JPM.
Nami GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE ninamalizia pia kwa kusema hebu Watanzania 'tujivunie' mno Rais Magufuli na 'tumsaidie' pale anapokosea.
Sawa mtani, ngoja nikawavuruge mbogamboga wenzio kwenye post nyingine.
Naona kuna 'Jibu' unalitafuta kutoka Kwangu endelea tu 'Kunitibua' huu 'Ubongo' wako nikupe kisha uanze Kulia na Kunilaumu. Kuwa makini sawa?
Kati ya Watanzania mil 60 zaidi ya milioni 40 hawamkubali
Huwezi ukawa unampenda Mungu na ukatumia mamlaka yako kutesa viumbe wake wengine!Hakuna Mungu anayetaka upendo wa hivyo!!!Jpm anampenda Mungu. Na hiki ndicho kinampa sifa kubwa Tanzania na duniani kwa ujumla
Nami pia nitaitafuta hiyo 'Thread' ili 'niivuruge' na 'nikuvuruge' na Wewe pia ili utoke katika 'mstari' na lengo lako Mama ( Kuu ) lisiweze Kutimia pia.
I don't expect anything good from you guy, maybe foolishness, because is what you expressing through your Demonic propaganda
Hii gentamycine au chloroquine? Mbona sielewi!!??
Kwa swala la Corona Uncle John kura yangu umepata,haya mambo mengine baadaye. Rais hawezi kufanya yote , wala kuwaridhisha wote , pia hawezi pendwa na wote.