Uthubutu wake, Kukabiliana Kwake na Umakini wake dhidi ya Janga la 'CORONA' lamfanya Rais Dkt. Magufuli akubalike kama 'Malaika' nchini Uganda

Uthubutu wake, Kukabiliana Kwake na Umakini wake dhidi ya Janga la 'CORONA' lamfanya Rais Dkt. Magufuli akubalike kama 'Malaika' nchini Uganda

Kuhussiana na Nini Sasa hapa haya malalamiko yako
Miaka 59 ya UHURU tuna vyote hivi;

Mount Kilimanjaro

Serengeti National Park

Mikumi

Ziwa Victoria, Tanganyika

Makaa ya mawe Songea

Bandari ya DSM

Gesi ya Mtwara

Almasi

Tanzanite

Dhahabu Bado mapimbi wameshindwa kumpa mwananchi MAJI ya kunywa
 
Kwann maambukizi ya Africa ni madogo ukilinganisha na mabara mengine..tupe majibu yaliyowazi usikariri..
Soma comment yangu ya kwanza kwenye huu uzi. Mbona nimeeleza vizuri kwa kifupi.
It is demographics! Period.
 
Sijasema nimemchukia ila nimekusaidia kujua kwamba kutumiwa na Mungu siyo sababu ya mtu kuwa mcha Mungu. Hata hivyo waganda siyo Watanzania. Biblia inasema asiyewajali wa nyumbani kwake ni mbaya kuliko asiyeamini. Inasaidia nini kusifiwa na Waganda wakati Watanzania wengi wamehudhunishwa?
Watanzania wengi wamehuzunishwa wapi jomba..labda fafanua..msipende kuwabeba watu wengine migongoni..Kama Hamna Sera ni bora mka shut your mouth..Kama alivyokuwa anawaambia mgombea wenu wa zamani..watanzania zaidi ya asilimia 90 wapo nyuma ya Magufuli..Sasa sijui unavyosema watanzania ni wepi hao..labda wewe, mmeo na watoto wenu huko..msihusishe wengine
 
Asilimia 90? Hizi takwimu umetoa wapi?
Tanzania hakuna hata opinion polls. Hivi mnatuchukuliaje aisee!
 
Nini ambacho hamuelewi pimbi nyinyi. Wao wanapima na kutangaza cases! Sisi tumeacha kupima na kutangaza tangu April, sasa common sense ni kuwa usipopima na kutangaza haimaanishi huna cases!
Lakini ni wazi maambukizi na vifo kwa Africa ni chini sana ukilinganisha na mabara mengine!
Hivi kwanini mnakuwa viazi hivi?
Sijasikia takwimu za Covid kutoka Kenya kwa muda mrefu sasa. Hizo takwimu mpya umetoa wapi?
 
Mungu yupi? Hakuna mtu anayempenda Mungu wa mbinguni anayeweza kutamani wale wanaoishi kama malaika waishi kama mashetani. Halafu Mungu anaweza kumtumia mtu yeyote hata kama ni mbaya kama shatani. Mungu alimtumia mfalme Koreshi mpagani kuwaruhusu Israeli kwenda kujenga upya kuta za Yerusalemu na Hekalu.
AMEN
 
Mungu yupi? Hakuna mtu anayempenda Mungu wa mbinguni anayeweza kutamani wale wanaoishi kama malaika waishi kama mashetani. Halafu Mungu anaweza kumtumia mtu yeyote hata kama ni mbaya kama shatani. Mungu alimtumia mfalme Koreshi mpagani kuwaruhusu Israeli kwenda kujenga upya kuta za Yerusalemu na Hekalu.
AMEN
 
Asilimia 90? Hizi takwimu umetoa wapi?
Tanzania hakuna hata opinion polls. Hivi mnatuchukuliaje aisee!
No research no right to speak..even to comment on an issue . Fanya tafiti wewe usingoje kutafuniwa za kupikwa
 
Back
Top Bottom