Uthubutu wake, Kukabiliana Kwake na Umakini wake dhidi ya Janga la 'CORONA' lamfanya Rais Dkt. Magufuli akubalike kama 'Malaika' nchini Uganda

Mtani hiki kilemba cha ukoka umekuja nacho, au ulikuwa nacho muda mrefu?

Wewe hujajua tu kuwa Mimi ni kama 'Panya' ambapo kuna muda 'nakuuma' hadi unaumia na kuna muda 'napulizia' hadi unasikia raha na furaha?
 
Nipe hiyo Idadi ya hao Watanzania wako 'unaowasemea' hapa kuwa 'hawamkubali' Rais Dkt. Magufuli kati ya Watanzania Milioni 55+ waliopo sasa.

Kati ya Watanzania mil 60 zaidi ya milioni 40 hawamkubali
 
Hata wewe usisema waganda sema baadhi ya waganda

Naona kuna 'Jibu' unalitafuta kutoka Kwangu endelea tu 'Kunitibua' huu 'Ubongo' wako nikupe kisha uanze Kulia na Kunilaumu. Kuwa makini sawa?
 
Ishu ya corona tumebebwa na Hali ya kitropical sababu ya joto

Na pia Tanzania 'tumebebwa' na kuwa na Rais ambaye ni kama 'Malaika' halafu hata Mwenyezi Mungu nae 'anampenda' na 'kumtumia' Kwetu JPM.
 
Mshukuru mungu kwenye Corona, Watu wasio ujua ugonjwa wa Corona ndio wanao msifu Magufuli
 
Sawa mtani, ngoja nikawavuruge mbogamboga wenzio kwenye post nyingine.

Nami pia nitaitafuta hiyo 'Thread' ili 'niivuruge' na 'nikuvuruge' na Wewe pia ili utoke katika 'mstari' na lengo lako Mama ( Kuu ) lisiweze Kutimia pia.
 
Naona kuna 'Jibu' unalitafuta kutoka Kwangu endelea tu 'Kunitibua' huu 'Ubongo' wako nikupe kisha uanze Kulia na Kunilaumu. Kuwa makini sawa?

I don't expect anything good from you guy, maybe foolishness, because is what you expressing through your Demonic propaganda
 
Kati ya Watanzania mil 60 zaidi ya milioni 40 hawamkubali

Ni 'Taasisi' gani iliendesha 'Study' yako hii? Hebu iweke 'Hewani' hapa ili tupime 'Credibility' yake ndani ya nchi ya Tanzania na Mioyo ya Wabongo.
 
Hii gentamycine au chloroquine? Mbona sielewi!!??
 
I don't expect anything good from you guy, maybe foolishness, because is what you expressing through your Demonic propaganda

Hiki 'Kiingereza' chako cha 'Standard Three' ulijifunzia Shule gani? Yaani hata Mwanangu tu 'Junior GENTAMYCINE' amekuzidi kwa anachokiongea.
 
Kwa swala la Corona Uncle John kura yangu umepata,haya mambo mengine baadaye. Rais hawezi kufanya yote , wala kuwaridhisha wote , pia hawezi pendwa na wote.

Mkuu kwa hii 'Comment' yako iliyoenda 'Shule' natamani hata nikujue uko wapi tu ili nije nikuvishe 'Nishani' ya Heshima kwa kuwa na 'Akili' Kubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…