Uthubutu wake, Kukabiliana Kwake na Umakini wake dhidi ya Janga la 'CORONA' lamfanya Rais Dkt. Magufuli akubalike kama 'Malaika' nchini Uganda

Kuhussiana na Nini Sasa hapa haya malalamiko yako
Miaka 59 ya UHURU tuna vyote hivi;

Mount Kilimanjaro

Serengeti National Park

Mikumi

Ziwa Victoria, Tanganyika

Makaa ya mawe Songea

Bandari ya DSM

Gesi ya Mtwara

Almasi

Tanzanite

Dhahabu Bado mapimbi wameshindwa kumpa mwananchi MAJI ya kunywa
 
Kwann maambukizi ya Africa ni madogo ukilinganisha na mabara mengine..tupe majibu yaliyowazi usikariri..
Soma comment yangu ya kwanza kwenye huu uzi. Mbona nimeeleza vizuri kwa kifupi.
It is demographics! Period.
 
Watanzania wengi wamehuzunishwa wapi jomba..labda fafanua..msipende kuwabeba watu wengine migongoni..Kama Hamna Sera ni bora mka shut your mouth..Kama alivyokuwa anawaambia mgombea wenu wa zamani..watanzania zaidi ya asilimia 90 wapo nyuma ya Magufuli..Sasa sijui unavyosema watanzania ni wepi hao..labda wewe, mmeo na watoto wenu huko..msihusishe wengine
 
Asilimia 90? Hizi takwimu umetoa wapi?
Tanzania hakuna hata opinion polls. Hivi mnatuchukuliaje aisee!
 
Sijasikia takwimu za Covid kutoka Kenya kwa muda mrefu sasa. Hizo takwimu mpya umetoa wapi?
 
AMEN
 
AMEN
 
Asilimia 90? Hizi takwimu umetoa wapi?
Tanzania hakuna hata opinion polls. Hivi mnatuchukuliaje aisee!
No research no right to speak..even to comment on an issue . Fanya tafiti wewe usingoje kutafuniwa za kupikwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…