unaitumiaje mkuubacking soda kiboko ya UTi
Acha ujinga wewe.... Unaijua baking soda? Unajua imetengenezwa kwa machemical gani? Unajua madhara yake?unaitumiaje mkuu
asante mkuuuna weka kwenye glass ya maji kijoko cha chai 2kwa cku21 . Iwe backing soda sio powder
mi nikajua ukipima mkojo wanajua moja kwa moja shida iliyo kwenye mkojoAcha ujinga wewe.... Unaijua baking soda? Unajua imetengenezwa kwa machemical gani? Unajua madhara yake?
Ulienda hospital gani kupima? Nenda hospital kubwa inayoeleweka. Usiende kusema unataka kupima UTI, nenda eleza tatizo hadi lilipofikia ili wakupime kila kitu kuanzia Magonjwa ya zinaa hadi UTI.
Achana na jamii forum
Kheri wewe akili unae ita wengine wajinga ila kwa huu huu ujinga wangu nimesaidia watu wakapona bila ttzo loloteAcha ujinga wewe.... Unaijua baking soda? Unajua imetengenezwa kwa machemical gani? Unajua madhara yake?
Ulienda hospital gani kupima? Nenda hospital kubwa inayoeleweka. Usiende kusema unataka kupima UTI, nenda eleza tatizo hadi lilipofikia ili wakupime kila kitu kuanzia Magonjwa ya zinaa hadi UTI.
Achana na jamii forum
Vijiko viwili kwa siku 21..yaani asubuhi na jioni vinne?una weka kwenye glass ya maji kijoko cha chai 2kwa cku21 . Iwe backing soda sio powder
Kidogo cha chai mara 2 kwa siku kwa cku 3 hadi 5 kulingana na ukubwa wa ttzoVijiko viwili kwa siku 21..yaani asubuhi na jioni vinne?
Ahaa kumbe sio siku 21. Nimekuelewa mkuu.Kidogo cha chai mara 2 kwa siku kwa cku 3 hadi 5 kulingana na ukubwa wa ttzo
Umempa ushauri kupitia Jamiiforums halafu unamwambia aachane na Jamiiforums ?Acha ujinga wewe.... Unaijua baking soda? Unajua imetengenezwa kwa machemical gani? Unajua madhara yake?
Ulienda hospital gani kupima? Nenda hospital kubwa inayoeleweka. Usiende kusema unataka kupima UTI, nenda eleza tatizo hadi lilipofikia ili wakupime kila kitu kuanzia Magonjwa ya zinaa hadi UTI.
Achana na jamii forum
Nitajie chemical composition ya baking soda na ina madhara gani kwa binadam na kwnn ina tumiwa kwenye mapishi kma mlenda na waoka mikateAcha ujinga wewe.... Unaijua baking soda? Unajua imetengenezwa kwa machemical gani? Unajua madhara yake?
Ulienda hospital gani kupima? Nenda hospital kubwa inayoeleweka. Usiende kusema unataka kupima UTI, nenda eleza tatizo hadi lilipofikia ili wakupime kila kitu kuanzia Magonjwa ya zinaa hadi UTI.
Achana na jamii forum
unainywa hayo maji yaliyokua mixed na baking soda? baking soda unawek kiasi gani mkuuKidogo cha chai mara 2 kwa siku kwa cku 3 hadi 5 kulingana na ukubwa wa ttzo
hii kitu sio nzuri hata kidogo na haina effect on bacterial labda kwenye v2 vingine