UTI sugu inaweza kutibika kwa kitunguu swamu?

Disney mbola

New Member
Joined
Apr 8, 2023
Posts
3
Reaction score
3
Habari wanaJF, naomba kuuliza hivi ni kweli kitungu swaumu kinatibu UTI sugu?

Je, Kuna tiba zingine za asili zinazoweza kumaliza tatzo hili?

Asanteni sana naombeni ushauri na maoni
 
Mh we umetoa wapi haya labda kwa wachache la sivyo utaua kizazi chako ukidubiri ugonjwa utoke sio chenyewe lazima pawe na mchanganyiko wa ingredients nyinginezo We ndio mwenye shida au kama vip PM me
 
Umepima wapi na kuthibitisha hilo tatizo, hospital nyingi ni wapotoshaji jiridhishe kwa kwenda mbili tatu tofauti
 
Mh we umetoa wapi haya labda kwa wachache la sivyo utaua kizazi chako ukidubiri ugonjwa utoke sio chenyewe lazima pawe na mchanganyiko wa ingredients nyinginezo We ndio mwenye shida au kama vip PM me
Mwenye shida ni Mimi mkuu
 
Back
Top Bottom