Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
Tatizo lako unalazimisha kila swali liwe na jibu la moja kwa moja (kama vile ndio au hapana) na mtu akikujibu tofauti na ulivyotarajia unaanza kusema ametoka nje ya mada, sasa hiyo siyo namna ya kujadili hoja bwamdogo usilazimishe watu wakujibu kile unachotaka kusikia wewe, kwa mfano hilo swali lako hapo halina jibu la moja kwa moja kwa sababu siku hizi kuna aina nyingi za mahusiano kwahiyo inategemea hao watu wapo kwenye mahusiano ya aina ganiMkuu mbona unazunguka halafu hautoi jibu umesema ili stability ya mahusiano iwepo mwanaume anatakiwa kuhudumia ndipo mwanamke amtii... sasa nimeuliza kwamba vipi kuhusu wapenzi ambao hawaishi pamoja au mke ambae ana ajira je hapa mwanaume bado anawajibika kuhudumia?