Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
🤣🤣🤣🤣Shangaa na wewe!! Hata mataifa makubwa ili yawamiliki mataifa madogo lazima wawe na PESA.
Hivi nchi km Tanzania inaweza kumvimbia Marekani?? Awwwweh wanaume watafute PESA. Halafu hizi kelele huwezi kuzisikia kwa kina GSM ila hawa ving’ong’o wavivu wavivu 🤣🤣🤣🤣
Mbona ving'ong'o!! Ndio hawa kila siku kutupigia kelele humu. Heshima is earned bwana, sasa kama huipati jitafakari. Seems huistahili.