Utii wa wanawake wa kisasa

Utii wa wanawake wa kisasa

Shangaa na wewe!! Hata mataifa makubwa ili yawamiliki mataifa madogo lazima wawe na PESA.
Hivi nchi km Tanzania inaweza kumvimbia Marekani?? Awwwweh wanaume watafute PESA. Halafu hizi kelele huwezi kuzisikia kwa kina GSM ila hawa ving’ong’o wavivu wavivu 🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣
Mbona ving'ong'o!! Ndio hawa kila siku kutupigia kelele humu. Heshima is earned bwana, sasa kama huipati jitafakari. Seems huistahili.
 
Tena hao wanautaka utumwa sio utii yaani akioa leo anavunjika mikono na miguu hata kikombe kiko karibu yake anataka umletee 🤨
Tatizo kubwa walilonalo wanataka kuabudiwa “NDIYO MZEE” sasa wa kumfanyisha huo upuuzi nani?? Kwanza nikifikiria kukipikia kitoto cha mtu na kukifulia na bado hakina PESA hata nisikie matarumbeta ya ndoa sishtuki
 
Nimeelewa ndio maana nikauliza vp katika situation ambazo hamkai pamoja au na mwanamke ana uwezo wa kujihudumia? Kwamba mwanaume utawajibika kumgharamia kodi, chakula, mavazi n.k wakati hamuishi pamoja? Hata mke akiwa na kazi bado mwanaume anawajibika kuhudumia
Kama unaona mwanaume hawajibiki kumhudumia mpenzi kwanini uone ni sawa mwanamke kumtii mpenzi
Waliopo uko mtaani ndio hawa hawa wa jf. Wewe ni keyboard warrior tu ila mahubiri yako hauwezi kuya-apply kwenye mahusiano yako.
Ndio maana nasema wewe una matatizo ya akili, huwezi ukawa unaongelea my personal issues kwa confidence kiasi hiki kana kwamba unanijua kumbe hata hunifahamu, na huna uhakika hata kama ulichoandika kuhusu mimi ni ukweli au la ila basi tu umeamua kujiandikia ili mradi kujifariji
 
Tatizo kubwa walilonalo wanataka kuabudiwa “NDIYO MZEE” sasa wa kumfanyisha huo upuuzi nani?? Kwanza nikifikiria kukipikia kitoto cha mtu na kukifulia na bado hakina PESA hata nisikie matarumbeta ya ndoa sishtuki
Wanaume wa kisasa wanataka UTUMWA na sio UTII kama wanavyo andika na kwa hilo wasahau.
 
Kama unaona mwanaume hawajibiki kumhudumia mpenzi kwanini uone ni sawa mwanamke kumtii mpenzi
Mkuu mbona unazunguka halafu hautoi jibu umesema ili stability ya mahusiano iwepo mwanaume anatakiwa kuhudumia ndipo mwanamke amtii... sasa nimeuliza kwamba vipi kuhusu wapenzi ambao hawaishi pamoja au mke ambae ana ajira je hapa mwanaume bado anawajibika kuhudumia?
 
Mwanaume kamili hawezi ishi na wewe, hata kama atakuwa anajielewa ila lazma kuna vitu hatoweza torelate kuna dynamics unazo lazma atazishindwa tu
Vile wanaume wa jf mkishindwa hoja mnavyogeuka pyschologists na philosophers, hizi defensive mechanisms zenu nishazizoea mkuu cha msingi we jikite kwenye mada iliyoko mezani, mimi hata nikishindwa kuishi na mwanaume yeyote yule sidhani kama wewe itakupunguzia kitu
 
Back
Top Bottom