Utii wa wanawake wa kisasa

Utii wa wanawake wa kisasa

Acheni hizi porojo zenu msingi wa mwanamke kumtii mwanaume uko katika mwanaume kumhudumia mwanamke huwezi kukitawala kiumbe usichokihudumia, kinachofanya wanawake wengi wa dunia ya leo kutokuwatii wanaume wao ni kile kitendo cha wao nao kuanza kujitafutia pesa na mali zao bila kuwategemea wanaume, hata mimi huwa nasema humu kama mwanaume anamhudumia mwanamke basi shurti huyo mwanamke amtii hiyo siyo hiyari bali lazima, ila kama mwanaume hawajibiki kwa lolote kwa mwanamke wake halafu anataka utii basi mtaendelea kulalamika na kutukana hadi mwisho wa dahari, huku mkisubiri mwanamke awe 'reject' ndio awe na utii
Mwisho wa dahari tena?
 
Haujajibu chochote ulikua unaluka luka tu unahisi swali lina mtego hata ivyo ulichojibu ni mwanaume fala ndio anaweza kukubali, yaani mnaishi sehemu tofauti(umepanga au upo kwa wazazi wako) au mnaishi pamoja halafu una ajira bado unataka mwanaume akuhudumie. kama unaishi kwenu wajibu wa baba ako ni upi?, kama hauna ajira na umepanga kwanini uliondoka kwenu?, kama una ajira na unataka kuhudumiwa kipato chako unapeleka wapi? Ni mwanaume fala ndio atakubali hayo matakwa yako labda tu kama lengo lake liwe kukutomba na kukuacha ndio atatoa hela kama chambo akishamaliza haja zake anaingia mitini ila kwa mentality yako kuwa na mahusiano ya maana sahau.
Hakuna cha kurukaruka hapo wewe unalazimisha mtu ajibu kile unachotaka kukisikia tu hata kama ni uongo, sasa kama unajua kwamba kila mtu anaishi kivyake na kujiwajibikia mwenyewe kwanini unataka mwanamke akutii, ni mwanamke desperate na mwenye low self esteem tu ndiye atakayekubali kumtii mwanaume asiyemuhudumia
 
Ukikuwa utaacha kuhoji. It's all about the laws of nature. Kuna vitu vipo hivyo tu kingine mwanamke kaumbwa hivyo kukubali kutawaliwa not in a bad way ila ni moja wapo ya feminine quality. Ukiona mwanamke anataka ku act kama mwanaume there's some imbalances.
Ni ninyi ndio mnaolazimisha kwamba wanawake wanapenda kutawaliwa yani siku hizi mmegeuka wasemaji wao, kama kutawaliwa ingekuwa nature basi wanawake wote duniani wangekuwa na uniform mentality wala msingehitaji kutumia nguvu kubwa kuwalazimisha hilo, ila the fact kwamba wanawake wamekuwa rebellious inadhihirisha kwamba hiyo siyo nature bali ni some sort of planted mentality labda kama hujui maana ya nature
 
Hakuna cha kurukaruka hapo wewe unalazimisha mtu ajibu kile unachotaka kukisikia tu hata kama ni uongo, sasa kama unajua kwamba kila mtu anaishi kivyake na kujiwajibikia mwenyewe kwanini unataka mwanamke akutii, ni mwanamke desperate na mwenye low self esteem tu ndiye atakayekubali kumtii mwanaume asiyemuhudumia
kwamba hata mwanamke ukiwa na ajira bado hitaji la kuhudumiwa lipo pale pale?. Ukishakua na ajira maana yake automatically unatoka kwenye kundi la watu tegemezi.
 
Back
Top Bottom