Utii wa wanawake wa kisasa

Aisee..dudu niliyoipata asubuhi hii ni ya viwango vingine kabisa...sent from heaven.
Badili ladha basi? 😎😁 Njoo chukua yangu ina chocolate na vanilla πŸ˜ƒ
 
Mwisho wa dahari tena?
 
Hakuna cha kurukaruka hapo wewe unalazimisha mtu ajibu kile unachotaka kukisikia tu hata kama ni uongo, sasa kama unajua kwamba kila mtu anaishi kivyake na kujiwajibikia mwenyewe kwanini unataka mwanamke akutii, ni mwanamke desperate na mwenye low self esteem tu ndiye atakayekubali kumtii mwanaume asiyemuhudumia
 
Ni ninyi ndio mnaolazimisha kwamba wanawake wanapenda kutawaliwa yani siku hizi mmegeuka wasemaji wao, kama kutawaliwa ingekuwa nature basi wanawake wote duniani wangekuwa na uniform mentality wala msingehitaji kutumia nguvu kubwa kuwalazimisha hilo, ila the fact kwamba wanawake wamekuwa rebellious inadhihirisha kwamba hiyo siyo nature bali ni some sort of planted mentality labda kama hujui maana ya nature
 
kwamba hata mwanamke ukiwa na ajira bado hitaji la kuhudumiwa lipo pale pale?. Ukishakua na ajira maana yake automatically unatoka kwenye kundi la watu tegemezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…