Unafikiri ni huyo tu mimi mwenyewe nimelianzisha ku dislike kwa mr mwashamba mbona kitambo tu.huyo anayake tu,, alkua ananikubali ila kuona tu text zangu na Poor Brain kaanza dislike ππ
Hahahaha π kumbe ndo zenu watu wa humu eeeehUnafikiri ni huyo tu mimi mwenyewe nimelianzisha ku dislike kwa mr mwashamba mbona kitambo tu.
Njoo pm tumalizane basi mchumbamin -me umeona sasa
Mno ulikua haujuiHahahaha π kumbe ndo zenu watu wa humu eeeeh
na nani mbona mimi sijaonaTusitoke njee ya mada leo nimeonywaπ
uko kumejaa adi kumejilockNjoo pm tumalizane basi mchumba
ndo kwanza umenijuza apaMno ulikua haujui
Ni uongozi mkuu wameni pm kumbe kutoka njee ya mada ni kosa kubwa .na nani mbona mimi sijaona
Au sio we njoo kwangu maana yako umefunga!uko kumejaa adi kumejilock
weeeeeee kumbe mimi ndo bingwa wa izo mamboNa uongozi mkuu wameni pm kumbe kutoka njee ya mada ni kosa kubwa .
mimi ni mwanamke wa kisasa sina utiiAu sio we njoo kwangu maana yako umefunga!
Au sio! Ndo unavyojibu wanaume wanaokutongoza hivyo! Hao watoto utalea mwenyewe kwa kwelimimi ni mwanamke wa kisasa sina utii
Wewe jamaa una akili kubwa sana, where was i to see your account siku zote hizo..?_ Men and women should be treated accordingly, Mwanaume kuwa mlevi, malaya, mvivu au masikini won't change the fact that he is a man.
_ Mwanaume hawezi kua mwanamke sababu ni mlevi au sababu ni masikini, vilevile mwanamke hawezi kua mwanaume kwa sababu anatafuta pesa.
_ If u can't grasp such a small concept then siku zako za kujuta zimekaribia.
Huyo dada nilishindwana nae hapo tu, mnajadili mambo mengine, yeye analeta mifano ya wanaume anaokutana nao yeye wenye peculiar characters ambazo hata sisi wanaume zinatushangaza. Hajawahi kuwaza kwamba kuna bright side pia. Mungu amsaidie sana akutane na wanaume wazuri wanaojielewa ili angalau apone trauma zake.Mwanaume wako ndio ana tabia hizi? Mbona mtoa mada hajataja izo sifa popote. Nimekuona mara kadhaa unapenda kuchafua kwanza image ya wanaume kwa assumptions zako binafsi ndio utengeneze hoja, izo sifa ulizozitaja hata mwanamke anaweza kuwa nazo. Suala la mmong'onyoko wa maadili kwa wanawake ni tatizo kwa sasa tena hao wanaume wema ndio victims wakubwa ukilinganisha na bad boyz unaowasakama.
Kaka una akili sana. I am following you right away. Kama ungekuwa mwalimu au kama ni mwalimu basi wanafunzi wako watakuwa wanaelewa sana. Huyo dada hayo matatizo yote uliyo notice kwake ni kweli anayo na ni zaidi ya watu 10 washamwelekeza ila ni mbishi kushinda maelezo._ Tatizo akili yako iko shallow to the point unashindwa kuelewa mambo. Ulicho kielewa sicho nilicho kiandika ( misinterpretation ), na hili ndio tatizo kubwa walilonalo mafeminist wote.
_ Hakuna kiumbe kinachoishi duniani kinachostahili kutendwa ubaya, Ubaya unaexist sababu ya uwepo wa watu wabaya (that's human nature). I wrote " treated accordingly ". A man should be treated as a man, and a woman should be treated as a woman.
ππππ Naelewa sasahili nalo ka jinga vile
Ni kweli. So hizi mada za kuwa attack wanawake peke yao ZIFE!Na mwanamke asiye na heshima atatembea mpaka na mme wa dada yake