Utii wa wanawake wa kisasa


Muktadha wa hoja yako umejikita kwenye UTII Vs HUDUMA.

Kipi kinatakiwa kuanza kati ya hivyo viwili?

-Kaveli-
 
Mnaoishi kwa validation mnajiendea kama nyumbu. Sijaja JF kuuza icecream kwamba kila mtu afurahie uwepo wangu au mawazo yangu. Sijaja kutafuta kupendwa hapa ndo maana unaniona sina unafki. Ukijichanganya I will literally put you in your place. Kutunisha kifua kisa ni wanaume kafanyieni wake zenu.

Kila mtu ana mtazamo wake wa maisha na sio lazima nielewe unaousema wewe kwasababu hujui nilikotokea wala wanayopitia nnaowaona mimi.
So hata mngekuja mia nasimama na msemo wangu kwamba wewe na hao wenzako ni misogynists! Kwani kuna wanaume wangapi jf kwanini hawajagi na kiherehere ila ni wewe na wachache wenzio mliolelewa na wazazi wa ndio ndio hadi baba zenu wanaleta vitoto vya nje kibaooo na magonjwa kwahiyo mnataka heshima ya uoga ambayo mama zenu walionesha kwa baba zenu wasiowaheshimu ndo kila mtu awe nayo! Sahauuu.

Men who deserve respect are rare aisee. Wanajitambua na wanathamini wanawake hawakai kuwafungulia thread kila siku. ๐Ÿšฎ
 
Wee mkuu ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ni vile nakuheshimu ila ningekutukana matusi yale mazito ambayo mara ya mwisho nilituka mod aliyekua kwenye PM yangu
Na mimi sio fala kukujibu najua hauwezi nitukana kwa sababu na mimi pia nakuheshimu mkuu๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
umeongea vema sana (tofauti na nilivyotarajia)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ