Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
😂😂😂 bro acha basikwahiyo mnata kutiiwa au sio??!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂 bro acha basikwahiyo mnata kutiiwa au sio??!!
Kumekucha 😂😂😂Sio mwanamke ni upinde uyo.
Nyie si mna akili kutuzidi!! Sasa hizo akili nyingine za kuishi na sisi za kazi gani? 😜Tuishi nao kwa akili.
Kwann wifi? 🤣🤣🤣Sikuamini tenaaa😂😂🙌🏾
Mkuu sidhani kama hilo ni suala la kipi kinatakiwa kuanza, mkishaingia tu ndoani kila mmoja anatakiwa aanze kutekeleza majukumu yake papo hapo, wala si suala la kusubiri fulani aanze au kushindanaMuktadha wa hoja yako umejikita kwenye UTII Vs HUDUMA.
Kipi kinatakiwa kuanza kati ya hivyo viwili?
-Kaveli-
Hiki ni kisingizio tu kuhalalisha ujeuri wako, utiifu upo ndani ya mtu naturaly tu. Utiifu wala hautolewi kwa masharti.Pesa huna halafu unataka mwanamke akutii!!? Mimi nitamtii mwanaume mwenye PESA tu na anayefanya majukumu yake km mume..!!
unaulza na unajua 😂😂Kwann wifi? 🤣🤣🤣
Wewe unachanganya utii ule tunaouonyesha kwa wazazi, unataka kuuleta kwa mpenzi/mume.Hiki ni kisingizio tu kuhalalisha ujeuri wako, utiifu upo ndani ya mtu naturaly tu. Utiifu wala hautolewi kwa masharti.
Hapa ndipo wanapotuonaga sisi wabaya, yani mtu hatimizi majukumu yake anataka msaidiane 50/50 halafu hapo hapo anataka heshima, ndio kina Natafuta Ajira hao eti asili sijui ni asili gani hiyo inayochagua upandeSasa. Anatokea punda anakomaa kabisa anasema haijalishi. Mwanaume lazima aheshimiwe!!! No thank you:
Vipi kuhusu wapenzi ambao bado hamjaingia ndani ya ndoa. Kila mmoja anaishi kwake, hapa mwanaume anawajibika kutoa izo huduma vinginevyo hakuna utiifu? na vipi kuhusu wanandoa ambao wote mna kipato hapa mwanaume atawajibika kutoa izo huduma vinginevyo hakuna utiifu?Mkuu sidhani kama hilo ni suala la kipi kinatakiwa kuanza, mkishaingia tu ndoani kila mmoja anatakiwa aanze kutekeleza majukumu yake papo hapo, wala si suala la kusubiri fulani aanze au kushindana
Wala sijachanganya chochote. Nimeongelea utiifu kama tabia ambayo ipo ndani ya mtu kiasili kama tabia zingine mfano wizi, unyanyasaji, ulevi n.k.. yaani ni tabia ambazo mtu anajikuta anazi-practice tu automatically. Kama wewe sio mnyanyasaji mtu akikunyanyasa utaachana nae tu ila ukilipiza kumnyanyasa wote mnakua wanyanyasaji hauwezi kusema nimemnyanyasa kwa sababu na yeye alininyanyasa. Hauwezi kutumia kosa kuhalalisha kosa.Wewe unachanganya utii ule tunaouonyesha kwa wazazi, unataka kuuleta kwa mpenzi/mume.
Wazazi tunawaheshimu sababu wanatuhudumia bila manung’uniko, ila nyie wanaume huduma sifuri, mmejaa viburi na mitabia ya hovyo.!!
Sasa mtu km huyo nimtii wa kazi gani??
Mkuu wewe unadhani msingi wa mwanaume kumtawala mwanamke uko kwenye niniSidhani kama respect inategemea mtu ahudumiwe, hata kama anahudumiwa bado kutawaliwa ni jambo jingine (mtawala go directly proportional with command) bado hailipi
hapo nimekuelewa.Sasa alichoandika hapo kina shida gani, hiyo asili ya mwanamke kumtii mwanaume inaendana na asili ya mwanaume kumhudumia mwanamke na mimi wala sipingi hilo, mimi napingana na wanaotaka mwanaume na mwanamke wasaidiane majukumu halafu bado wanataka utii
Mkuu naomba nionyeshe wapi nilishakubaliana na wanaume ambao hawatimizi majukumu yao kama mume. Kwa kifupi ni kwamba sikubaliani na 50/50, sikubaliani na unyanyasaji wa wanawake, sikubaliani na wanaume wote ambao hawatimizi majukumu yao kama mume(naomba nieleweke hapa nimesema mume sio boyfriend), sikubaliani na wanaume wanaozalisha wanawake na kuwaacha single mother(labda kama uyo mwanamke mwemyewe alikua ndie chanzo cha yeye kuachwa)Hapa ndipo wanapotuonaga sisi wabaya, yani mtu hatimizi majukumu yake anataka msaidiane 50/50 halafu hapo hapo anataka heshima, ndio kina Natafuta Ajira hao eti asili sijui ni asili gani hiyo inayochagua upande
Acheni hizi porojo elezea hiyo faida anayopata mwanamke directlyIla utii ni kwa faida ya mwanamke asipotii atakuwa single mama
Sema naye bablaiJada
Jadda ni role model wanguNikikuambia una akili nyingi huwa unakataa 🤔
Uyo na wafuasi wake wakina Guantanamoh wanachangamsha genge tu kulinda character zao walizozijenga hapa jf ila nakuakikishia yote wanayoubiri humu ndani hawawezi ku-practice kwenye mahusiano yaoJadda still amegoma kuonesha utii hata katika huu uzi wakuu🤔