Inakuwaje Wanajamvi!
Utitiri wa mataifa ya Kiislamu kutaka urafiki na Israel unaongezeka.
Kosovo tayari wamekubali kuwa marafiki na Israel japo kuna minong'ono ya hapa na pale kutoka kwa wafia dini nchini humo lakini hamna namna. Asilimia 99% ya wa Kosovo ni Waislam.
Pia Somaliland nao wako njiani. Alshab pamoja na Somalia wanapinga.
Nchi zingine za Kiislamu zinajipendekeza kwa Israel kichinichini bila kuweka wazi ni Saudi Arabia, Oman. Tumeiona pia Sudan nao wako mbioni.
Taifa lengine la kiislam ambalo ni jirani na Irani Azabaijan wenyewe toka zamani walishaweka wazi wanapenda Israel.
Pia Humo Humo Iran raia wengi wanapenda sana Israel.
Mataifa haya ya Kiislamu na raia zake wameshashtuka wamekuwa wanapoteza Baraka nyingi sana.
Na wote wanataka kujenga balozi zao Jerusalem jambo ambalo linapingwa na wapalestina.
Hamas pamoja na serikali ya Palestina wanasikitishwa sana na kulaumu. They can't do nothing huwezi shindana na watu wa Mungu.
God bless and protect Israel.
Israel the land Jews the people!