Hidden Diamond
JF-Expert Member
- Jan 31, 2024
- 260
- 481
Binafsi nashangaa Sana kuona lundo la wanawake likikimbilia dojo kujifunza ngumi sijui no for self defense au vp naona wale tuliokuwa tunawaita Maua sasa wanaanza kuwa magugu.
Kuna sister mmoja wa makamo kuna siku nimewahi muuliza ww dojo unaenda kufanya nini yeye aliniambia amechoka kuonewa na mumewe imagine jamani kuna ndoa kweli hapo nikamuuliza tena mumewe anajua akanijibu hapana hafahamu ila anacho jua kuwa yeye anafanya mazoez ya viungo Tu gym
Kwahiyo anasubiri muda ufike ili amfanyie suprise mumewe daah nilishangaa kwa kweli Mdada mwingine amewahi nijibi dunia sio salama tena kwahiyo kujiandaa kwa kila Jambo.Ukweli wanaume inabidi tuwe makini aisee tunakoenda huko mbele sio kwema hawa wanawake wameamua kuangusha utawala wetu