mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Watakuelewa sasa.Kwanza uto sikieni: Simba siyo wenzenu! Simba ni daraja jingine kabisa! N kuikosea adabu Simba kusema ni wenzenu!
Niwasaidie mnapokwama: Huku CAF hakuna cha bahasha! Huku unabebwa na uwezo wako wa soka, mmenipata?
[emoji23]Kwanza uto sikieni: Simba siyo wenzenu! Simba ni daraja jingine kabisa! N kuikosea adabu Simba kusema ni wenzenu!
Niwasaidie mnapokwama: Huku CAF hakuna cha bahasha! Huku unabebwa na uwezo wako wa soka, mmenipata?
Wanaelewa sana tu, sema uto ni wataalam wa kujitoa ufahamu!!Watakuelewa sasa.
🤣Kwanza uto sikieni: Simba siyo wenzenu! Simba ni daraja jingine kabisa! N kuikosea adabu Simba kusema ni wenzenu!
Niwasaidie mnapokwama: Huku CAF hakuna cha bahasha! Huku unabebwa na uwezo wako wa soka, mmenipata?
Sijui kama waliandika samari ya notes za jana.
Nahisi wengine walilala darasani wakimtuhumu Mkufunzi kutumia lugha na miasamiati migumu kama ya Joramu Nkumbi.
Natamani yule msemaji wao wa zamani (Haji Manara) ajitokeze hapa atoe neno walau moja!! Haji usipite tu hapa kimya kimya!! Umefungiwa uongozi na si ushabiki!!
Tatizo mwenge uzungukao ndani na sio nje[emoji23]
Jezi ya Yanga ni 'NZITO'
Yanga inaweza kuwa na msimu mbaya kuliko mingine yote katika historia yake tangu kuanzishwa kwakwe.. Nimetumia neno INAWEZA kwakuwa bado ina nafasi ya kufanya jambo Rangi, maumbo na michoro kiroho huwakilisha vitu vikubwa sana.. Na in fact hesabu za kiroho ziko kwenye hayo mambo matatu..RANGI...www.jamiiforums.com
Jezi ya Yanga ni 'NZITO'
Wani consultWabadilishe mganga
NakaziaNiwasaidie mnapokwama: Huku CAF hakuna cha bahasha! Huku unabebwa na uwezo wako wa soka, mmenipata?