Uto wajiuliza: Tunakwama wapi, mbona wenzetu wanasonga mbele kiulaini?

Uto wajiuliza: Tunakwama wapi, mbona wenzetu wanasonga mbele kiulaini?

Kwanza uto sikieni: Simba siyo wenzenu! Simba ni daraja jingine kabisa! N kuikosea adabu Simba kusema ni wenzenu!

Niwasaidie mnapokwama: Huku CAF hakuna cha bahasha! Huku unabebwa na uwezo wako wa soka, mmenipata?
ushindi wa jana ni mbio za sakafuni hamuendi kokote
 
Kwanza uto sikieni: Simba siyo wenzenu! Simba ni daraja jingine kabisa! N kuikosea adabu Simba kusema ni wenzenu!

Niwasaidie mnapokwama: Huku CAF hakuna cha bahasha! Huku unabebwa na uwezo wako wa soka, mmenipata?
Ongeza sauti
 
Yanga kusajili kwa mihemko sio tiket ya ushindi, michuano ya CAF ina mambo mengi! Mlipaswa kujifunza kwa wazoefu wa michuano hiyo, sasa eti kule kumfunga Simba mechi ya ngao mkajua hata huko CAF mtachukua kombe haya sasa vipi tena? Mmetinga hatua ya mtoano kwa ushindi wa goli 9 - 0 lakini kwa Al Hilal mkashindwa kupata ushindi hata wa 1 - 0 !
 
Natamani yule msemaji wao wa zamani (Haji Manara) ajitokeze hapa atoe neno walau moja!! Haji usipite tu hapa kimya kimya!! Umefungiwa uongozi na si ushabiki!!
underdogs.JPG
 
Bila aibu mashabiki wa Yanga wanawataka viongozi wao wawe "wanacheza mpira pia nje ya uwanja"- yaani bahasha kama walivyozoea ligi kuu ya ndani!
 
Uto subirini ushindi wa kimbunga wa bahasha hapa bongo!! huko CAF champions league ni maji marefu! Huko ni uwanja wa wanaume siyo wa wavulana!!
Unajua yule pitso alivyokuja yanga day akaona team inavyocheza halafu ni unbeaten alishangaa sana aliwapa summary za kufanyia kazi lakini wakadharau kwasababu walikuwa wanapata matokea kwenye league sasa hivi wanakumbuka ushauri wake ila it's too late
 
Back
Top Bottom