The only
JF-Expert Member
- May 19, 2011
- 10,805
- 14,181
Habarini mimi nina mgodi wangu ninaoumiliki kwa mujibu wa sheria hapa katavi nina primary mining licence na nimeilipia tatizo nina toa mawe (gold ores) nimetumia watu nikagundua si waaminifu ,sasa naomba ushauri niende wapi kujifunza kuextraract gold ,wengi wanasema nitumie mercury ila wengne wanadai kuna chemical nyingne bora ,mpaka sasa nina taniya mawe (gold ore)