Utoaji dhahabu kwenye mawe

Utoaji dhahabu kwenye mawe

The only

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2011
Posts
10,805
Reaction score
14,181
Habarini mimi nina mgodi wangu ninaoumiliki kwa mujibu wa sheria hapa katavi nina primary mining licence na nimeilipia tatizo nina toa mawe (gold ores) nimetumia watu nikagundua si waaminifu ,sasa naomba ushauri niende wapi kujifunza kuextraract gold ,wengi wanasema nitumie mercury ila wengne wanadai kuna chemical nyingne bora ,mpaka sasa nina taniya mawe (gold ore)
 
Attachments

  • 1418497585403.jpg
    1418497585403.jpg
    90.7 KB · Views: 898
Hongera mkuu kwa kumiliki hazina hiyo.
Tafuta exploitation materials kwabza ndo uendelee na kazi
 
Asante nimeanza na kujua then kununua kisha nianze kazi ,karbu katavi
 
Inaoneka hukujipanga.ulitakiwa ufanye research kwanza.unafahamu kuhusu business plan.but.usijali bado haujacherewa.waulize wenzako wenye uzoefu.hongera Mkuu kama ni kweli unamiliki.
 
Hizo sio gold bali ni ma- chalcopyrite tu, aka foolish gold.
 
mmmmh hizo ni Gold???????

ngoja nimpostie Prof Muhongo
 
Habarini mimi nina mgodi wangu ninaoumiliki kwa mujibu wa sheria hapa katavi nina primary mining licence na nimeilipia tatizo nina toa mawe (gold ores) nimetumia watu nikagundua si waaminifu ,sasa naomba ushauri niende wapi kujifunza kuextraract gold ,wengi wanasema nitumie mercury ila wengne wanadai kuna chemical nyingne bora ,mpaka sasa nina taniya mawe (gold ore)

Mkuu anza taratibu utafika tu, Nunua mashine ya kusagia hayo mawe nahisi saiv yatakuwa M 3 then tumia mercury kwa kuanzia kuextract mdogo mdogo mpaka utakapokuwa vizuri.
 
Cha kwanza chukua sampuli ya hayo mawe yako peleka mahabara inaweza kuwa mwanza, dodoma, dar es salaam..baada ya hapo utajua kiasi cha gold kilochopo ktk sampuli ulizopeleka mahabara, then baada ya hapo utajua je kweli gold ipo hapo na kama hipo ni methods gani utumie ktk kuprocess hiyo gold yako kutoka ktk mashapo yako..Kwa swali zaidi unakaribishwa mkuu..
 
Nimeshauri hivyo kutokana na nilivyoangalia sampuli za picha ulizoweka, sababu ninachoona ni iron staining zaidi na si gold, ila kama una huhakika na uwepo wa gold then unaweza kwenda hatua moja zaidi mbele..
 
Habarini mimi nina mgodi wangu ninaoumiliki kwa mujibu wa sheria hapa katavi nina primary mining licence na nimeilipia tatizo nina toa mawe (gold ores) nimetumia watu nikagundua si waaminifu ,sasa naomba ushauri niende wapi kujifunza kuextraract gold ,wengi wanasema nitumie mercury ila wengne wanadai kuna chemical nyingne bora ,mpaka sasa nina taniya mawe (gold ore)

Ulikuwa uwe na mashine maalumu ya kusaga mawe na kusafishia hao material, gold kwenda kwake na mawe au mchanga kwenda sehemu yake, ngoja najaribu kuwaliana na mtu kama anaweza kuipata mashine hio japo ndogo tu ya kujiajiri.
 
Nimeshauri hivyo kutokana na nilivyoangalia sampuli za picha ulizoweka, sababu ninachoona ni iron staining zaidi na si gold, ila kama una huhakika na uwepo wa gold then unaweza kwenda hatua moja zaidi mbele..

Hio ni gold mkuu, uhakika
 
Habarini mimi nina mgodi wangu ninaoumiliki kwa mujibu wa sheria hapa katavi nina primary mining licence na nimeilipia tatizo nina toa mawe (gold ores) nimetumia watu nikagundua si waaminifu ,sasa naomba ushauri niende wapi kujifunza kuextraract gold ,wengi wanasema nitumie mercury ila wengne wanadai kuna chemical nyingne bora ,mpaka sasa nina taniya mawe (gold ore)

Mkuu wewe ulikuwa upate machine kama hizo, ambazo unaweza kupata kuanzia dola 1500 hadi 8000 huko China.
 
Attachments

  • 1419081053598.jpg
    1419081053598.jpg
    112.4 KB · Views: 362
  • 1419081060763.jpg
    1419081060763.jpg
    15.4 KB · Views: 334
  • 1419081069384.jpg
    1419081069384.jpg
    76.6 KB · Views: 321
Asante nimeanza na kujua then kununua kisha nianze kazi ,karbu katavi

Kama unataka usiibiwe uwe na crusher kama hio ndogo, itakusaidia, zipo eBay, bei Powa.
 
Attachments

  • 1419085265622.jpg
    1419085265622.jpg
    21 KB · Views: 297
  • 1419085273780.jpg
    1419085273780.jpg
    28.7 KB · Views: 281
  • 1419085282860.jpg
    1419085282860.jpg
    24.2 KB · Views: 278
tafuta local grinding mill af uiextract kwa kutumia bronze na co mercury kwan inamadhala sana
 
Hio ni gold mkuu, uhakika

anayeongea hapo juu anafahamu anachokiongea na yuko sahihi. kupeleka maabara sampuli zako ni muhimu, huko utajua kwanza kama kweli hapo kuna dhahabu, na kama ipo ipo kwa kiasi gani, kuanzia hapo ndipo unapata ushauri utumie njia gani kuetract, na kama dhahabu ni kiasi kikubwa unaweza pia kuunganishwa na wawekezaji. hata migodi mikubwa huwa wanapeleka sample zao SGS na maabara zingine ili kupata uhakika wa kitaalam zaidi.
Hongera mkuu.
 
Mkuu wewe ulikuwa upate machine kama hizo, ambazo unaweza kupata kuanzia dola 1500 hadi 8000 huko China.

crusher wanatengeneza wajasiriamali wa hapahapa nchini kwa bei nzuri tu tena ni imara zaidi na nafuu. akienda sido anapata
 
The only.
Mambo vipi mkuu, unaendeleaje na process yako ya kuextract gold ktk mgodi wako?
 
Back
Top Bottom