Mamlaka ya Maji Lulindi wilayani Masasi mkoani Mtwara imekuwa ikitoa huduma kwa matabaka ambapo baadhi ya mabomba yakikosa maji
Tungekuwa tukitoa malalamiko kwa sekta husika ila tunapokea majibu ya kejeri kwa baadhi ya Mtumishi wao Bwana Kwame Mpojo ambaye amekuwa akitoa majibu ambayo sio ya kiungwana kwa sisi wanufaika wa maji mpaka kufikia kusema hakuna mwenye mamlaka ya kumuondoa kwenye nafasi hiyo hata kama tukipeleka malalamiko sehemu yoyote
Hii imekuwa kero Kwa wakati wa Jimbo la Lulindi na vitongoji vyake ingawa idara ikiendelea kumkingia kifua wakati huduma ya maji tunalipia
Tumeanza kupata kero hii baada ya kumuondoa ndugu Gadafi ambaye alikuwa anafanya kazi kwa weledi ila toka wamlete wenye maslahi nao imekuwa kero
TunaombaWaziri wa Maji tutetee wananchi tunateseka na tumekosa pa kusema.