Mwaka 2017 nilikuwa natoka mwanza basi nilipangiwa siti no16 na mjuba pembeni mwanzoni mwa safari kabisa akaja mma yuko na mtoto akaniomba nimpe siti yangu nyuma hataweza mana anayo mtoto pia hali yake kiafya sio njema ..nikasema powa nakaa hata kwenye difu nikamwambia maza shika siti nikaenda huko nyuma kwenye 40 hivi basi bhna siti nilihamia kulikuwa na mtoto mkali wa kisukuma anaenda moshi kuna kazi ameitiwa huko asee nishika mapaja mtoto anauliza naswali ya kila namna alafu mcheshi kweli japo safari ilikuwa tamu ila sikufaidi zaidi ya kumpapasa na kumlipia chakuka na soda singida pale..