Utoaji wa tiketi kwenye mabasi uzingatie jinsia

Utoaji wa tiketi kwenye mabasi uzingatie jinsia

[emoji1787][emoji1787] umepambania jina la chama kwa kweli, ubarikiwe kwa roho hyo ya upendo kwa mama na mtoto.

#Netx time kuwe na Happy ending sasa[emoji6]
😂😂😂😂😂sawaa
 
Mwaka 2017 nilikuwa natoka mwanza basi nilipangiwa siti no16 na mjuba pembeni mwanzoni mwa safari kabisa akaja mma yuko na mtoto akaniomba nimpe siti yangu nyuma hataweza mana anayo mtoto pia hali yake kiafya sio njema ..nikasema powa nakaa hata kwenye difu nikamwambia maza shika siti nikaenda huko nyuma kwenye 40 hivi basi bhna siti nilihamia kulikuwa na mtoto mkali wa kisukuma anaenda moshi kuna kazi ameitiwa huko asee nishika mapaja mtoto anauliza naswali ya kila namna alafu mcheshi kweli japo safari ilikuwa tamu ila sikufaidi zaidi ya kumpapasa na kumlipia chakuka na soda singida pale..
Yaani huyo mama mwenye mtoto ningekuwa tayari hata kukaa chini.
 
Back
Top Bottom