prumpeti
JF-Expert Member
- Feb 28, 2022
- 1,023
- 2,308
😂😂😂😂😂sawaa[emoji1787][emoji1787] umepambania jina la chama kwa kweli, ubarikiwe kwa roho hyo ya upendo kwa mama na mtoto.
#Netx time kuwe na Happy ending sasa[emoji6]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂😂sawaa[emoji1787][emoji1787] umepambania jina la chama kwa kweli, ubarikiwe kwa roho hyo ya upendo kwa mama na mtoto.
#Netx time kuwe na Happy ending sasa[emoji6]
Nasikia wale wakata tiketi na wenyewe wanazitolea macho hizo pisi...akuweke wewe yeye hasimamishi mnara?[emoji1] anza kuoga na sabuni ya Unga Bro.
Yaani huyo mama mwenye mtoto ningekuwa tayari hata kukaa chini.Mwaka 2017 nilikuwa natoka mwanza basi nilipangiwa siti no16 na mjuba pembeni mwanzoni mwa safari kabisa akaja mma yuko na mtoto akaniomba nimpe siti yangu nyuma hataweza mana anayo mtoto pia hali yake kiafya sio njema ..nikasema powa nakaa hata kwenye difu nikamwambia maza shika siti nikaenda huko nyuma kwenye 40 hivi basi bhna siti nilihamia kulikuwa na mtoto mkali wa kisukuma anaenda moshi kuna kazi ameitiwa huko asee nishika mapaja mtoto anauliza naswali ya kila namna alafu mcheshi kweli japo safari ilikuwa tamu ila sikufaidi zaidi ya kumpapasa na kumlipia chakuka na soda singida pale..
Safii❤..Yaani huyo mama mwenye mtoto ningekuwa tayari hata kukaa chini.