Utofauti kati ya kumbukumbu zinazohifadhiwa kwenye ubongo(Brain) na kumbukumbu zinazohifadhiwa na akili (Mind)

Mimi nilidhani roho ni dhana ya kidini - kumbe inaelekea ni ya kisayansi pia!
Ndio maana ukisoma Theology lazima usome pia Psychology na Philosophy maana ni vitu vinaenda pamoja
 
Wapi nimeyachanganya pal??
Ubongo na akili kaka.
Mind NI frequency au Energy( emotion == energy in motion ).
Brain ni neurone 5 % na supportive cells 95%.

Bado nachanganyikiwa happy kuhusu uhifadhi wa taatifa na kuwa daraja la taarifa.
 
Elimu haina mwisho kilasiku tunajifunza.
Mada kama hizi hazichuji
Hii ni faida ya mitandao ya kijamii
 
Tatizo kubwa la JF Ni Hawa the so called 'great thinkers'...hawawi genuine, wanaandika theory walizozisoma mtandaoni Na kuzipresent as facts.
Wewe unaandika mada yako as facts
Ukweli Ni Kuwa sio wanasayansi, waganga wa kienyeji, manabii, mashekhe au wanasiasa....Hakuna anyejua chochote kuhusu hii mada.
 
You're a sheep, I'm The Lion, why should I be concerned with Sheep's Truth?(Opinions)
Hizi nazo bado Ni opinions zako, kama Hizo zingine ulizopost post ya Kwanza..
Sio kosa kuzisema au kuzipost,, ila Ni kosa kuzisema/kuzipost Na kuzinadi hapa kama 'truths'
 
Ingependeza kama hayo niliyoyaandika ungeyaCritcize kwa hoja kama nilivyofanya mimi na sio kwa maneno matupu
Dah Nimejaribu kupin point sehemu moja ya kucriticize nimekosa...in short bandiko lote Lina Aina mbili Za hoja... Ni either hoja iwe straight wrong au hearsay zisizo Na ushahidi Wowote.
Analogy ya computer Na ubongo wa mwanadamu Ni invalid maana mpaka Leo hamna anyejua jinsi ubongo unaoperate....Hamna kiumbe yoyote duniani anayejua hizi nyama ndani ya fuvu zinafanyaje fanyaje mpaka kutengeneza kitu unachokiita 'mind'

Kitu unachokiita 'mind' hujadefine Ni Nini,ila umesema kimegawanyika into conscious, subconscious bla blah..lakini hujasema chenyewe Ni Nini hasa Na kinatokana Na Nini?
Umesema ubongo unakusanya taarifa kupitia Pua,macho,mdomo ..Je hiki kitu unachokiita 'mind' kinakusanyaje taarifa??
Hii roho inawezaje kuwasiliana Na 'nature'? Kuna mechanism Gani?

Halafu inshort story Za souls Na spirits Ni story Za manabii feki na gurus wa India huko...(They are good stories to tell kwenye vijiwe vya kahawa this).
 
Unadhani kama tusingekua tunajua jinsi ubongo unavyofanya kazi tungeweza kua tunafanya Neurosurgery?? How about Psychiatrist??
 
Ubongo na akili kaka.
Mind NI frequency au Energy( emotion == energy in motion ).
Brain ni neurone 5 % na supportive cells 95%.

Bado nachanganyikiwa happy kuhusu uhifadhi wa taatifa na kuwa daraja la taarifa.
Mind ni software kwenye mwili wa mtu, ni kama vile Cloud,Drive, Dropbox unahifadhi vitu bila kua na actual memory/Disk
 
Nipewe maua yangu. Nimesoma huu uzi hadi nimejishangaa how I wrote this masterpiece
 
Ujafanya kitu Da'vinci! Usiwe unachukulia vitu serious
Nilikwambia vile sababu uliomba kusifiwa nilifanya utani
Duuh basi mm nilihisi kuna kitu nimekukosea ndio maana nikasema hivo.
Kupenda sifa ni asili yetu wanadamu.. Japo hua tunajionyesha hatupendi. But no one is immune to flattery
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…