Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ubongo na akili kaka.Wapi nimeyachanganya pal??
seems hauko concerned with the truthThe Lion (me) doesn't concern himself with opinions of the sheep (You).
Hizi nazo bado Ni opinions zako, kama Hizo zingine ulizopost post ya Kwanza..You're a sheep, I'm The Lion, why should I be concerned with Sheep's Truth?(Opinions)
Dah Nimejaribu kupin point sehemu moja ya kucriticize nimekosa...in short bandiko lote Lina Aina mbili Za hoja... Ni either hoja iwe straight wrong au hearsay zisizo Na ushahidi Wowote.Ingependeza kama hayo niliyoyaandika ungeyaCritcize kwa hoja kama nilivyofanya mimi na sio kwa maneno matupu
Unadhani kama tusingekua tunajua jinsi ubongo unavyofanya kazi tungeweza kua tunafanya Neurosurgery?? How about Psychiatrist??Dah Nimejaribu kupin point sehemu moja ya kucriticize nimekosa...in short bandiko lote Lina Aina mbili Za hoja... Ni either hoja iwe straight wrong au hearsay zisizo Na ushahidi Wowote.
Analogy ya computer Na ubongo wa mwanadamu Ni invalid maana mpaka Leo hamna anyejua jinsi ubongo unaoperate....Hamna kiumbe yoyote duniani anayejua hizi nyama ndani ya fuvu zinafanyaje fanyaje mpaka kutengeneza kitu unachokiita 'mind'
Kitu unachokiita 'mind' hujadefine Ni Nini,ila umesema kimegawanyika into conscious, subconscious bla blah..lakini hujasema chenyewe Ni Nini hasa Na kinatokana Na Nini?
Umesema ubongo unakusanya taarifa kupitia Pua,macho,mdomo ..Je hiki kitu unachokiita 'mind' kinakusanyaje taarifa??
Hii roho inawezaje kuwasiliana Na 'nature'? Kuna mechanism Gani?
Halafu inshort story Za souls Na spirits Ni story Za manabii feki na gurus wa India huko...(They are good stories to tell kwenye vijiwe vya kahawa this).
Mind ni software kwenye mwili wa mtu, ni kama vile Cloud,Drive, Dropbox unahifadhi vitu bila kua na actual memory/DiskUbongo na akili kaka.
Mind NI frequency au Energy( emotion == energy in motion ).
Brain ni neurone 5 % na supportive cells 95%.
Bado nachanganyikiwa happy kuhusu uhifadhi wa taatifa na kuwa daraja la taarifa.
Una akili kubwa ila unapenda sifa kama mhaya🤸Nipewe maua yangu. Nimesoma huu uzi hadi nimejishangaa how I wrote this masterpiece
Napendaje sifa mkuu
Ujafanya kitu Da'vinci! Usiwe unachukulia vitu seriousKwani nilifanyaje mkuu
Duuh basi mm nilihisi kuna kitu nimekukosea ndio maana nikasema hivo.Ujafanya kitu Da'vinci! Usiwe unachukulia vitu serious
Nilikwambia vile sababu uliomba kusifiwa nilifanya utani