Utofauti kati ya kumbukumbu zinazohifadhiwa kwenye ubongo(Brain) na kumbukumbu zinazohifadhiwa na akili (Mind)

Aliyoya-reseve Mungu ili wewe usiyajue, ni makubwa muno kuzidi haya unayofikiria wewe. Haya ni madogo muno na hivyo mimi naamini bado Mungu ameyaweka kwa ajili ya wanadamu ili waweze kuchangamsha akili yao. Kwa mfano, Mapiramidi ya Misri mbona yapo na hatujui watu gani waliyajenga na waljengaje, na mpaka leo hatuna Teknolojia ya kuweza kuyajenga? Je, ikitokea tukapata Teknolojia ya kuyajenga mapiramidi hayo, tutasema kwamba tume-trascend kiwango chetu cha uwezo wa kibinadamu ambacho Mungu ametupatia? Hapana, isipokuwa tutakuwa bado tunafanya kazi kwenye limits zetu za akii yetu ya kibinadamu aliyotupatia Mungu
Uwezekano wa kure-treave memory unakwamishwa na kifaa tu cha kufanya kazi hiyo, siku kikigunduliwa linakuwa ni swala dogo tu
Kitu pekee ambacho mwanadamu hataweza kufanya ni kuumba, hiyo ni kazi ya Mungu pekee. Mwanadamu hataweza kutengeneza chocote kile ambacho kina uhai, isipokuwa anaweza kuigiza vyenye uhai ambavyo Mungu ameshatengeneza, kwa kutumia vya kwake ambavyo havina uhai kama vile Kompyuta.
Mfano mzuri ni kwamba hiii dunia hata iendeelee kuwepo billions and billions of years mbele, HAYUPO MWANADAMU ATAKAYEWEZA KUINGIA MAABARA NA KUTENGENEZA DAMU, AU MUMEA WENYE UHAI KWA SABAU DAMU NI UHAI. Watatengeneza ingredients zingine lakini siyo damu au kiumbe kingine chochote chenye uhai. Ukiona kwa mfano mwanasayansi ameingia maabara na akafanya majaribio yake na kupata mmea, ujue lazima anakuwa ametumia mmea mwingine kuzalisha huo alioupata
 
Mkuu mbona anafahamika mjenzi wa hizo pyramids
 
Asante kwa Elimu Mkuu 🙏🏽.

Mkuu naomba nieleweshe uhusiono uliopo kiutendaji kati ya Mungu na Mazingira/Asili/Nature juu ya mwanadamu ukiegemea upande wa kiroho zaidi.
Japo ni nje ya mada... ila kama lipo ndani ya uwezo wako unaweza kunifafanulia mkuu.

PM kama mazingira hayatuhusu humu.
 
Thanks for compliments mkuu.
Ningependa upitie kwanz mada hii kabla ya mimi kukujibu ulichouliza maana mada zangu hua naziandika kwa muendelezo. Ukimaliza kuisoma utauliza sasa
 
Sawa sawa mkuu.
 
Umejaliwa karama ya kuandika sio kuandika tuu vitu bali kuandika vitu vyenye kumake sense.
Ahsante sana mkuu Kaplan kwa compliments, si ujanja wala uwezo wangu binafsi.
 
Ahsante sana mkuu Kaplan kwa compliments, si ujanja wala uwezo wangu binafsi.
Naamini kila mtu anweza kufanya lolote lile kutokana na karama aliyonayo kama (Big If) akiruhusu aliyemuwekea karama hiyo amuongoze
Sure
 
Mada hii ni kipande cha jambo tulilojadili katika mada hii.
So ukipenda uanweza kuanza hapa
 
From what i understand human has three basic parts which are Body,Soul and Spirit.The reason i mention it here is to point out the difference between Soul(Nafsi) and Spirit(Roho).

Body general comprises flesh,Bone and Blood and that is where 5 senses are located while from the soul comes Emotions,Will and Mind. The third part is the spirit and thats where there is something called Intuition. I agree that memories are found in the mind but Soul is not Roho and we are three part being made of Body,Soul and the Spirit.
 
Mind stores memory and not the brain,especially the long time ones.Brain changes its molecules completely after 15 years meaning if it were stored in the brain after 15 there will be completely new molecules and there won't be memories of years earlier than 15 years.

The question is how do you remember events occured 20 years ago while brain molecules changes over time?

For reference see Vince Gaia, “Your Amazing Regenerating Body,” New Scientist, 19 June 2006.
 
What is the difference between mind and memory? Which one is a product of the other?

Hapana haiko hivyo, unaweza pia kusoma hapa:

Unapoongelea regeneration of brain nakubaliana na wewe kwamba hiyo process inaweza kuwa inafanyika, lakini haimaanishi kuwa kila brain inapokuwa regenerated, inafuta memory.

Ninavyoelewa mini, process ya regeneration ya aina yoyote ile huwa haifanyi, OVERWRITTING ya kile kilichokuwepo awali, hapana bali huwa inakiongezea ikiwa ni pamoja na kuki-enhance KILE KILE KILICHOKUWEPO AWALI.

Chukulia kwa mfano wangu mdogo wa ki-layman kwa sababu mimi siyo mtaalamu wa mambo ya elimu ya viumbe. Mtoto anapokuwa bado mdogo, kwenye process ya makuzi yake, huwa anakua kwa process ya cell regeneration kwenye mwili wake. Unataka kuniambia kuwa kama viungo vyake niko trained kucheza mpira leo, mwaka kesho vitakuwa haviwezi tena kucheza simply kuna process ya regeneration ya cells kwenye mwili wake?
Nilivyokuelewa mimi hapa ni kuwa brain haiwezi kuwa storage facility sababu huwa ina-undergo cell regeneration, process ambayo huwa inatengeneza brain mpya kila inapofanyika na hivyo kupelekea kilichokuwepo awali kwenye brain, kutokuwepo tena. Pamoja na kwamba mimi siyo mtaalamu wa mambo haya, I have this BIG NO to your argument
 
Soma hapa pia:

The difference between Memory and Mind​


When used as nouns, memory means the ability of a system to record information about things or events with the facility of recalling them later at will, whereas mind means the ability for rational thought.


Mind is also verb with the meaning: to remember.

check bellow for the other definitions of Memory and Mind


 
Hapo umeelezea akili Kwa kutumia reference ya lugha ya kiarabu, vipi kuhusu lugha ya kingereza 'Mind'. Hebu tufafanulie na hapa pia kwa kutumia reference. Karibu mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…