Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aliyoya-reseve Mungu ili wewe usiyajue, ni makubwa muno kuzidi haya unayofikiria wewe. Haya ni madogo muno na hivyo mimi naamini bado Mungu ameyaweka kwa ajili ya wanadamu ili waweze kuchangamsha akili yao. Kwa mfano, Mapiramidi ya Misri mbona yapo na hatujui watu gani waliyajenga na waljengaje, na mpaka leo hatuna Teknolojia ya kuweza kuyajenga? Je, ikitokea tukapata Teknolojia ya kuyajenga mapiramidi hayo, tutasema kwamba tume-trascend kiwango chetu cha uwezo wa kibinadamu ambacho Mungu ametupatia? Hapana, isipokuwa tutakuwa bado tunafanya kazi kwenye limits zetu za akii yetu ya kibinadamu aliyotupatia MunguCk sayansi ikifikia hapo, Mungu atakuwa ameweka makazi yake na watu wake, I mean, hii dunia haitakuwepo, Kuna mambo Mungu ameyafumba kwa faida zetu ili mtafaruku usije kutokea, heb fikiria tu tunyonye kumbukumbu za mwalim, au BM, au JPM halafu ziwekwe wazi unajua nn kitatokea??
Mkuu mbona anafahamika mjenzi wa hizo pyramidsAliyoya-reseve Mungu ili wewe usiyajue, ni makubwa muno kuzidi haya unayofikiria wewe. Haya ni madogo muno na hivyo mimi naamini bado Mungu ameyaweka kwa ajili ya wanadamu ili waweze kuchangamsha akili yao. Kwa mfano, Mapiramidi ya Misri mbona yapo na hatujui watu gani waliyajenga na waljengaje, na mpaka leo hatuna Teknolojia ya kuweza kuyajenga? Je, ikitokea tukapata Teknolojia ya kuyajenga mapiramidi hayo, tutasema kwamba tume-trascend kiwango chetu cha uwezo wa kibinadamu ambacho Mungu ametupatia? Hapana, isipokuwa tutakuwa bado tunafanya kazi kwenye limits zetu za akii yetu ya kibinadamu aliyotupatia Mungu
Uwezekano wa kure-treave memory unakwamishwa na kifaa tu cha kufanya kazi hiyo, siku kikigunduliwa linakuwa ni swala dogo tu
Kitu pekee ambacho mwanadamu hataweza kufanya ni kuumba, hiyo ni kazi ya Mungu pekee. Mwanadamu hataweza kutengeneza chocote kile ambacho kina uhai, isipokuwa anaweza kuigiza vyenye uhai ambavyo Mungu ameshatengeneza, kwa kutumia vya kwake ambavyo havina uhai kama vile Kompyuta.
Mfano mzuri ni kwamba hiii dunia hata iendeelee kuwepo billions and billions of years mbele, HAYUPO MWANADAMU ATAKAYEWEZA KUINGIA MAABARA NA KUTENGENEZA DAMU, AU MUMEA WENYE UHAI KWA SABAU DAMU NI UHAI. Watatengeneza ingredients zingine lakini siyo damu au kiumbe kingine chochote chenye uhai. Ukiona kwa mfano mwanasayansi ameingia maabara na akafanya majaribio yake na kupata mmea, ujue lazima anakuwa ametumia mmea mwingine kuzalisha huo alioupata
Ni nani?Mkuu mbona anafahamika mjenzi wa hizo pyramids
NakaziaNawewe mbona unataka kupotosha? Unasema vichaa hawana akili?
Japo ni nje ya mada... ila kama lipo ndani ya uwezo wako unaweza kunifafanulia mkuu.Subconscious Mind huwasiliana na Nature kisha itakua inakulete yale inayoyaona kwako mara nyingi. Kwa mfano ukiwa unawaza kwa muda mrefu kwamba kitu Fulani kitakutokea basi Subconscious Mind inawasiliana na nature kwamba mtu huyu anahitaji na kupenda kitu Fulani basi nature itakuletea kitu hicho ndio maana unashauriwa kujiwazia mambo mazuri tu,
Thanks for compliments mkuu.Asante kwa Elimu Mkuu 🙏🏽.
Mkuu naomba nieleweshe uhusiono uliopo kiutendaji kati ya Mungu na Mazingira/Asili/Nature juu ya mwanadamu ukiegemea upande wa kiroho zaidi.
Japo ni nje ya mada... ila kama lipo ndani ya uwezo wako unaweza kunifafanulia mkuu.
PM kama mazingira hayatuhusu humu.
Sawa sawa mkuu.Thanks for compliments mkuu.
Ningependa upitie kwanz mada hii kabla ya mimi kukujibu ulichouliza maana mada zangu hua naziandika kwa muendelezo. Ukimaliza kuisoma utauliza sasa
Je, unafahamu kwanini maisha yako yameandamwa na mikosi pamoja na Mambo mabaya?
SALUTE Maisha ni safari ndefu yenye mabonde na mashimo tu Yenye matumaini tu huku raha zikiwa chache mateso na taabu yamejaa! Kuna mambo yanaweza au yanatokea kwenye maisha yako hadi ukabaki unashanga. Yaani jambo fulani baya au zuri linakufata wewe tu kila siku hadi unajiuliza Why me? Mfano...www.jamiiforums.com
Umejaliwa karama ya kuandika sio kuandika tuu vitu bali kuandika vitu vyenye kumake sense.Kwanini mkuu??😅
SureAhsante sana mkuu Kaplan kwa compliments, si ujanja wala uwezo wangu binafsi.
Naamini kila mtu anweza kufanya lolote lile kutokana na karama aliyonayo kama (Big If) akiruhusu aliyemuwekea karama hiyo amuongoze
Mada hii ni kipande cha jambo tulilojadili katika mada hii.Sure
From what i understand human has three basic parts which are Body,Soul and Spirit.The reason i mention it here is to point out the difference between Soul(Nafsi) and Spirit(Roho).MATE;
Previous I wrote a topic centered on Illusion projection and I discussed a bit about how the brain process and encode memory, So this Topic will be serving as a stand-alone sequel of that Topic. Will be focusing on memory stored in brain and Soul respectively.
Kuna hivi vitu viwili tunaweza kua tunavichanganya pindi tunapokua tunataka kuvitumia, vitu hivyo ni kumbukumbu zinazohifadhiwa kwenye Ubongo(Brain) na kumbukumbu zinazohifadhiwa kwenye Akili (Mind). Sababu ni kwamba tunachanganya tofauti ya ubongo na akili. Ubongo ni mfumo endeshi (operating System upande wa Hardware yaani physical body) wa mwili wa binaadamu ambao umegawanyika katika sehemu tatu ambazo ni Ubongo wa mbele, wa kati na wa mwisho….. Roho (Soul) imegawanyika katika sehemu tatu ambazo ni Mind, Intellect na Impression, tunaweza kusema soul ni mfumo endeshi wa mwanadamu ambao unashughulikia mambo ya kiroho na mazingira/Nature (operating system inayoongoza upande wa Software katika mwili wa mwanadamu). Mind ndio inahusika kwenye kufikiria, hasa kwenye kutambua lipi baya na lipi jema.
Memory ni kisehemu katika ubongo ambapo taarifa (data au information) zinachambuliwa, zinahifadhiwa na kutolewa pindi zinapohitajika. Lakini pia Memory/kumbukumbu ni uwezo wa kukumbuka mambo ya zamani kama vile tabia/habits, uzoefu/experience, maarifa/skills, hisia, facts nk. Ubongo na Akili vyote vinatumika katika kuhifadhi kumbukumbu lakini zimetofautiani katika utendaji kazi, hivyo hapa tutaangali jinsi ubongo unavyokusanya taarifa na kuzihifadhi pia na akili jinsi ikusanyavyo.
Taarifa zinazotunzwa na Ubongo(Brain)
Katika ubongo wa mwanadamu sehemu inayohusika kuhifadhi kumbukumbu inaitwa Hippocampus ambapo kama sijasahau inapatikana katika ubongo wa kati, Ubongo wa mwanadamu hukusanya taarifa(data) mbalimbali kwa kupitia milango mitano ya fahamu ambayo ni Pua (Taarifa za harufu), Ulimi (radha), Macho(taarifa za picha), Masikio (taarifa za sauti), na Ngozi (taarifa kuhisi/sense). Kumbukumbu za mwanadamu zimegawanyika katika makundi mawili ambayo ni Kumbukumbu ya muda mfupi (short-term memory) hii utunzwa kwa muda mfupi sana kichwani yaweza kua sekunde,saa au siku na hutokea labda pindi umepishana na mtu barabarana kadri unavyotembea utasahau kama ulikutana na mtu huyo au ukiwa unasoma namba labda za simu baada ya muda utazisahau na Kumbukumbu ya muda mrefu (Long-term memory) hii hutokea pindi kitu ulikiona mara kwa mara au mlitumia muda mrefu kua pamoja hata kwa nusu saa.
Chukulia kwamba ubongo ni CPU ya computer na Flash/Hard Disk yako ni mlango wa fahamu, CPU haina chochote ndani tofauti na sehemu ya kuhifadhi computer ambayo inaitwa Cache Memory hivyo basi unapoweka flash kwenye computer na kufungua vile vitu vilivyomo ndani ya Flash CPU itaviona ba kuvifungua kwenye kioo chako cha computer, lakini pia vile vitu ulivyofungua hua vinatunzwa ndani ya CPU katika eneo hilo liitwalo Cache Memory ili pindi utakapotaka kufungua kitu ulichokifungua muda uliopita computer isichukue muda mrefu lakini jinsi unavyokaa muda mrefu bila kufungua kile kitu ndio Cache memory inakipoteza taratibu.
Sasa kama ilivyo CPU ubongo pia hua haukasanyi data bali huletewa data kwa kutumia milango hiyo ya fahamu niliyoitaja na kuzifanyia (executing data), mfano kama macho yalimuona mtu Fulani sehemu falani mkaongea na kuondoka ubongo wako kupitia macho utachuku data kuhusu mtu huyo kama vile urefu wake, unene,rangi yake,jinsi alivyovaa nk nk piakupitia masikio ubongo utachukua sauti yake, mambo mliyoongea, kama kapaka mafuta Fulani basi ubongo kupitia mapua yako utachukua data hizo kuhusu harufu na kuzihifadhi kwenye Hippocampus.
Blending in….
Kwa siku moja ubongo huhifadhi mabilioni ya taarifa kichwani so kama ulimuona mtu sehemu mkaongea kidogo mkaachana kadri ya muda unavyoenda Folder lililotunza taarifa zake kichwani linazidi kua mbaaaali zaidi kabisa Sasa ikitokea siku umemuona tena Yule mtu labda baada ya miaka kumi ubongo kupitia macho,masikio na mapua utachukua taarifa ya picha ya mwili mzima, sauti yake nk kisha inafananisha/Matching/inaScan vitu hivyo kule kwenye Hippocampus ili kuona kama kuna taarifa zinazomuhusu mtu huyo baada ya kuScan itakuletea machaguo/suggestion kadha zilizofanana na taarifa za mtu huyo sasa hapo utaanza kuchukua zile taarifa za machaguo uliyoyaaona ndani ya kichwa na tarifa za huyo mtu aliyopo mbele yako ndio utaanza kusema sasa hivi wewe sio Fulani, wewe au ni Fulani hapo ubongo unakua unapekua mafaili chapchap ili kupata matokeo mazuri sasa kama Yule mtu anakukumbuka akikuambia “hunikumbuki ni mimi Fulani tulikutana sehemu Fulani mwaka Fulani” ubongo utayachukua hayo maneno na kuyaScan na kupata folder zima la mtu huyo nawe ndio utajikuta unasema aaahaaa ni wewe ilikua hivi na hivi..
Hivyo basi kumbukumbu zote zinazohifadhiwa na ubongo ni kwa ajli ya kumuwezesha mwanadamu kuyakabili mazingira yake na vyote vinavyomzunguka .
Kumbukumbu zinazohifadhiwa kwenye Akili (Mind)
Roho (Soul) imegawanyika katika sehemu tatu ambazo ni Mind/Akili, Intellect na Impression.Mind ndio inahusika kwenye kufikiria, hasakwenye kutambua lipi baya na lipi zuri ,Mind imegawanyika katika pande tatu ambazo ni Conscious mind, Unconscious mind na Subconscious Mind …..Subconcious Mind hii ndio sehemu kuu ya Roho (Soul) ambayo kazi yake ni kurekodi shughuli zetu zakila siku ziwe za kimwili au kiroho. Huku juu tumeona jinsi Ubongo unavyokusanya taarifa kupitia milango ya fahamu na kuzihifadhi kwa ajili ya matumizi ya baadae…Akili pia (subconscious mind) hukusanya na kutunza kila taarifa sema kumbukumbu zinazotunzwa na akili huhifadhiwa kwa ajili ya matumizi ya kiroho.
BIOS (Basic Input/Output system) hiki ni kifaa kidogo ambacho hua kimepachikwa kwenye motherboard ya Computer, kinabeba na kuhifadhi taarifa za Computer husika kama vile jina la computer nk lakini pia kazi yake ni inaongoza mzunguko wa data kati ya Operating system na baadhi ya vifaa vingine vilivyounganishwa kama vile Video Adapter,Hard disk , Keyboard,mouse nk Bila hii chip huwezi kuwasha computer. Sasa basi Soul ni kama Bios chip ya mwanadamu, mwanadamu bila roho si mwanadamu maana Subconscious Mind ndio imebeba taarifa zake zote kama vile wapi alipotoka, wapi alipo, wapi anaenda, vitu upendavyo, hisia, tabia, vitu unavyofahamu kila anachotenda mwanadamu iwe kwa kuwaza,kuongea,kuona,kunusa,kuhifadhi Subconscious Mind hurekodi na kuhifadhi nk nk. Subconscious Mind pia inauwezo wa kuingia kwenye ubongo na kuchukua taarifa/kumbukumbu zote zilizopo humo na kuzihifadhi ila ubongo hauwezi kuingia kwenye Subconscious Mind na kuchukua taarifa.
Kila kilichorekodiwa na kuhifadhiwa kwenye Subconscious Mind huja kutimika katika maisha ya mwanadamu, kila unachokiwaza,kuongea au kutenda sana basi Subconscious Mind huwasiliana na Nature kisha itakua inakulete yale inayoyaona kwako mara nyingi. Kwa mfano ukiwa unawaza kwa muda mrefu kwamba kitu Fulani kitakutokea basi Subconscious Mind inawasiliana na nature kwamba mtu huyu anahitaji na kupenda kitu Fulani basi nature itakuletea kitu hicho ndio maana unashauriwa kujiwazia mambo mazuri tu, na kama hupendi vitu Fulani vikutokee basi usijaribu kukitenda kitu hicho maana nature itakua inakuletea kitu hicho mara kwa mara kwakua Subconscious Mind inakua imesharekodi kwamba unapenda kitu hicho. Ukifa Mungu hana haja na Mwili wako anachukua tu Roho yako maana humo ndio kuna kila taarifa.
Akili na ubongo vyote vinahifadhi kumbukumbu ila akili ikihifadhi kitu basi hakipotei daima lakini ubongo hua unafuta baadhi ya kumbukumbu kama nilivyoeleza, akili inaweza kuchukua taarifa za ubongo ila ubongo hauwezi, akili inaunganisha ubongo,mwili, mazingira/nature na mambo ya kiroho. Kama ubongo ni hardware basi akili ni Operating System.
Alamsiki…..
Da’Vinci
-Excelsior
Mind stores memory and not the brain,especially the long time ones.Brain changes its molecules completely after 15 years meaning if it were stored in the brain after 15 there will be completely new molecules and there won't be memories of years earlier than 15 years.Mind is not a storage facility for it is not a physical organ but rather, a logical processing tool. Hakuna storage yoyote inayoweza kufanyika kwenye mind. Hicho kitu hakipo leo na hata milele.
Kiwa mfano, mtu anaweza akawa na Ubongo usio na akili, kwa mfano mtu kichaa, lakini mtu hawezi kuwa na akili bila ya kuwa na ubongo. Leo umeniangusha sana kwenye post yako hii
What is the difference between mind and memory? Which one is a product of the other?Mind stores memory and not the brain,especially the long time ones.Brain changes its molecules completely after 15 years meaning if it were stored in the brain after 15 there will be completely new molecules and there won't be memories of years earlier than 15 years.
The question is how do you remember events occured 20 years ago while brain molecules changes over time?
For reference see Vince Gaia, “Your Amazing Regenerating Body,” New Scientist, 19 June 2006.
Soma hapa pia:Mind stores memory and not the brain,especially the long time ones.Brain changes its molecules completely after 15 years meaning if it were stored in the brain after 15 there will be completely new molecules and there won't be memories of years earlier than 15 years.
The question is how do you remember events occured 20 years ago while brain molecules changes over time?
For reference see Vince Gaia, “Your Amazing Regenerating Body,” New Scientist, 19 June 2006.