love life live life
JF-Expert Member
- Sep 12, 2021
- 2,584
- 3,051
Nashukuru kwa kuwa honest..Mkuu huu ni uzi wangu na siwezi kuutelekeza hata kwanini.
Kwanza kabisa tambua dhana ya jukwaa hili JF ni kwamba tunapashana habari na masuala pia ni kwamba mimi ninapoleta mada hapa haimaanishi naelewa kuliko waote humu bali naleta wengine wasome kisha watoe michango yao ikiwemo kukosoa na kurekebisha pale kwenye makosa. Ndio maana kuna sehemu ya kukoment.
Sasa mkuu hapa hatupo kumtafuta nani anajua zaidi ya mwingine na nani hajui!
Hivyo Basi kama unaona mada Yangu kuna sehemu inamakosa basi onyesha wapi kuna kosa kisha sahihisha kwa kuweka jibu sahihi as INTELLECTUAL na sio kunirushia mawe kwamba nimekosea hapa ila huweki kike unachofahamu✌️
Nipo hapa kujifunza mkuu naomba usinichukulie kama mkosoaji.Sawa, anza kukosoa na kurekebisha mada Yangu sasa
Mimi mada zangu hua naziandika kwa mfumo wa Sequel, Prequel na Spin-off. Hivyo ili upate full concept inabidi usome mada kadhaa za nyumaNashukuru kwa kuwa honest..
Hapana mkuu hizi ni janja janja tu na ndio diverging point kati yangu na wewe.Mimi mada zangu hua naziandika kwa mfumo wa Sequel, Prequel na Spin-off. Hivyo ili upate full concept inabidi usome mada kadhaa za nyuma
Hizi maada nazoandika humu ni muendelezo wa mada niliyoandika 2018. Ndipo the whole store ilianza nikaikazia zaidi kwa mada niliyoandika 2019.
Maybe anzia hapa!
Je, unafahamu kwanini maisha yako yameandamwa na mikosi pamoja na Mambo mabaya?
SALUTE Maisha ni safari ndefu yenye mabonde na mashimo tu Yenye matumaini tu huku raha zikiwa chache mateso na taabu yamejaa! Kuna mambo yanaweza au yanatokea kwenye maisha yako hadi ukabaki unashanga. Yaani jambo fulani baya au zuri linakufata wewe tu kila siku hadi unajiuliza Why me? Mfano...www.jamiiforums.com
Ok Basi niache janja janja, nielimishe kuhusu mind! Mimi ninavyoelewa ni hivyo. Si unajua hapa hatupo kwenye contest ya kujua nani anajua zaidi bali kujuzana na kuelimishana. Natumaini utafanya hivyoHapana mkuu hizi ni janja janja tu na ndio diverging point kati yangu na wewe.
Sion uhusiano wowote kati ya mada hii na uliyo nakili.
Kwa ufupi sana..Ok Basi niache janja janja, nielimishe kuhusu mind! Mimi ninavyoelewa ni hivyo. Si unajua hapa hatupo kwenye contest ya kujua nani anajua zaidi bali kujuzana na kuelimishana. Natumaini utafanya hivyo
Ni kweli, lakini unakubaliana kwamba Mind ndio sehemu kuu ya soul ya mwanadamu?Kwa ufupi sana..
Mind ni thought factory,
Intellect ndio inayo tofautisha ni thought ipi ni nzuri,
sahihi, rational, objective. Reasoning zote zinafanyika hapa.
Ndio. Na Mind ina memory kama ilivyo brainMemory ndio sehemu kumbukumbu zote zinahifadhiwa.
Maybe unachanganya Mind na Brain. Je wajua ni vitu viwili tofauti??Lakini mind ukumbuke ni functionality kama ilivo kutembea kile kitendo
cha kuproduce thought ndio tunakiita akili thought zina be-produced kwenye ubongo.
Tafti zinaonyesha ndoto nyingi tunazokumbuka ni zile,
tulizoshtuka baada ya kuota it means memory ni separate thing na ukilala
inakuwa down hivo hivo kwa intellect ukiota ndoto yeyote unaichukulia serious
kwa sababu intellect inakuwa down na reasoning haifanyiki tena unaweza ukaota tembo ana
mabawa na unaamini ukiwa ndotoni.
Kwenye subconcious mind pia ukitumia nadharia za kisayansi hiyo ndio tunai-term kama soul.
Brain ni ubongo ndg siwez changanya vitu open kama hivo...Ni kweli, lakini unakubaliana kwamba Mind ndio sehemu kuu ya soul ya mwanadamu?
Ndio. Na Mind ina memory kama ilivyo brain
Maybe unachanganya Mind na Brain. Je wajua ni vitu viwili tofauti??
Brain ni ubongo mind ni thought zinazokuwa produced kwenye ubongo.Ni kweli, lakini unakubaliana kwamba Mind ndio sehemu kuu ya soul ya mwanadamu?
Ndio. Na Mind ina memory kama ilivyo brain
Maybe unachanganya Mind na Brain. Je wajua ni vitu viwili tofauti??
Kuhusu soul ni spirit ni energy inayo flow katika nafsi.Ok, vipi kuhus Soul??
Akili na ubongo mkuu tushamaliza hicho kitu.Ok.
Je kuna tifauti ipi Kati ya roho,nafsi,moyo,akili na ubongo?
Ukija kwa nafsi ndio tunasema awareness ukitoa physical things inayobakiOk.
Je kuna tifauti ipi Kati ya roho,nafsi,moyo,akili na ubongo?