Mkuu huu ni uzi wangu na siwezi kuutelekeza hata kwanini.
Kwanza kabisa tambua dhana ya jukwaa hili JF ni kwamba tunapashana habari na masuala pia ni kwamba mimi ninapoleta mada hapa haimaanishi naelewa kuliko waote humu bali naleta wengine wasome kisha watoe michango yao ikiwemo kukosoa na kurekebisha pale kwenye makosa. Ndio maana kuna sehemu ya kukoment.
Sasa mkuu hapa hatupo kumtafuta nani anajua zaidi ya mwingine na nani hajui!
Hivyo Basi kama unaona mada Yangu kuna sehemu inamakosa basi onyesha wapi kuna kosa kisha sahihisha kwa kuweka jibu sahihi as INTELLECTUAL na sio kunirushia mawe kwamba nimekosea hapa ila huweki kike unachofahamu✌️
Mimi mada zangu hua naziandika kwa mfumo wa Sequel, Prequel na Spin-off. Hivyo ili upate full concept inabidi usome mada kadhaa za nyuma
Hizi maada nazoandika humu ni muendelezo wa mada niliyoandika 2018. Ndipo the whole store ilianza nikaikazia zaidi kwa mada niliyoandika 2019.
Maybe anzia hapa!
SALUTE Maisha ni safari ndefu yenye mabonde na mashimo tu Yenye matumaini tu huku raha zikiwa chache mateso na taabu yamejaa! Kuna mambo yanaweza au yanatokea kwenye maisha yako hadi ukabaki unashanga. Yaani jambo fulani baya au zuri linakufata wewe tu kila siku hadi unajiuliza Why me? Mfano...

Ok Basi niache janja janja, nielimishe kuhusu mind! Mimi ninavyoelewa ni hivyo. Si unajua hapa hatupo kwenye contest ya kujua nani anajua zaidi bali kujuzana na kuelimishana. Natumaini utafanya hivyo

Kwa ufupi sana..
Mind ni thought factory,
Intellect ndio inayo tofautisha ni thought ipi ni nzuri,
sahihi, rational, objective. Reasoning zote zinafanyika hapa.
Memory ndio sehemu kumbukumbu zote zinahifadhiwa.
Lakini mind ukumbuke ni functionality kama ilivo kutembea kile kitendo
cha kuproduce thought ndio tunakiita akili thought zina be-produced kwenye ubongo.
Tafti zinaonyesha ndoto nyingi tunazokumbuka ni zile,
tulizoshtuka baada ya kuota it means memory ni separate thing na ukilala
inakuwa down hivo hivo kwa intellect ukiota ndoto yeyote unaichukulia serious
kwa sababu intellect inakuwa down na reasoning haifanyiki tena unaweza ukaota tembo ana
mabawa na unaamini ukiwa ndotoni.
Kwenye subconcious mind pia ukitumia nadharia za kisayansi hiyo ndio tunai-term kama soul.

Brain ni ubongo ndg siwez changanya vitu open kama hivo...
Kama unaongelea kiimani kuhusu akili na soul i hav no comment.
Lakin kama ni kutumia rejea za sayansi akili haina memory na uwepo wake
ni imaginary sio physical entity.
Nikuulze kitu watu wanaopata ajali na kupoteza kumbukumbu
hata kuongea ni area ipi inakuwa disturbed ni memory kwenye soul kama
ulivodai au ni memory kama memory!?
Ukija kwa nafsi ndio tunasema awareness ukitoa physical things inayobaki
ni nafsi(soul) na nafsi inakuwa connected na energy hiyo energy ndio tunaiita roho(spirit).
Roho kazi yake ni ku-supply energy kwa nafsi yako.
wewe ni nafsi (soul) yako.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.