This is...
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 5,050
- 5,204
Timu zote zimefanya usajili mzuri , hivyo Zina vikosi vyenye wachezaji bora.
Tofauti Ni Moja tu na kubwa kwa hizi timu kwa Sasa. Yanga wanacheza kwa kujituma na kujitoa kwa asilimia zote kuhakikisha timu inashinda na hata kulazimisha ushindi. Wanatoka jasho hasa.
Simba morali ipo chini Sana. Ipo chini mno.
Nb:
KINACHOISAIDIA YANGA KUWA HIVYO. Kocha anafanya rotation ya wachezaji. Wote Ni bora na angalao wengi wanapata game time. Inawajengea kujiamini na kuzidi kuwa bora.
Mechi unaona kabisa chama au Tshabalala kachoka lkn hakuna sub.
Tinho kakariri kikosi.
(Mimi Ni shabiki wa Simba na mkitaka mniue lkn lazima ukweli usemwe mapema ili mwishoni tusishikane mashati wakati ubingwa ushaota mbawa )