Utofauti na Ufanano wa Yanga na Simba kwa Sasa

This is...

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2014
Posts
5,050
Reaction score
5,204
Timu zote zimefanya usajili mzuri , hivyo Zina vikosi vyenye wachezaji bora.

Tofauti Ni Moja tu na kubwa kwa hizi timu kwa Sasa. Yanga wanacheza kwa kujituma na kujitoa kwa asilimia zote kuhakikisha timu inashinda na hata kulazimisha ushindi. Wanatoka jasho hasa.

Simba morali ipo chini Sana. Ipo chini mno.

Nb:
KINACHOISAIDIA YANGA KUWA HIVYO. Kocha anafanya rotation ya wachezaji. Wote Ni bora na angalao wengi wanapata game time. Inawajengea kujiamini na kuzidi kuwa bora.

Mechi unaona kabisa chama au Tshabalala kachoka lkn hakuna sub.

Tinho kakariri kikosi.

(Mimi Ni shabiki wa Simba na mkitaka mniue lkn lazima ukweli usemwe mapema ili mwishoni tusishikane mashati wakati ubingwa ushaota mbawa )
 
Kwa mechi gani za maana walizocheza Yanga hadi mje hapa kutoa hizo sababu uchwara,,? Kmc walioponea chupuchupu kushuka daraja msimu uliopita, Jkt waliopanda daraja msimu huu ama Asas wa Djibouti sio kipimo sahihi kwa ukubwa Yanga,, hizo mechi bado hazitoshi kusema chochote. Kuweni na subira
 
[emoji142]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Kwa mechi gani za maana walizocheza Yanga hadi mje hapa kutoa hizo sababu uchwara,,? Kmc walioponea chupuchupu kushuka daraja msimu uliopita, Jkt waliopanda daraja msimu huu ama Asas wa Djibouti sio kipimo sahihi kwa ukubwa Yanga,, hizo mechi bado hazitoshi kusema chochote. Kuweni na subira
Mbona haujamaliza kutaja timu zote walizocheza na Yanga?
Vs Kaizer chief kafungwa goi moja
Vs Azam kafungwa goli mbili
Vs Simba wametoka sare
 
Kwa mechi gani za maana walizocheza Yanga hadi mje hapa kutoa hizo sababu uchwara,,? Kmc walioponea chupuchupu kushuka daraja msimu uliopita, Jkt waliopanda daraja msimu huu ama Asas wa Djibouti sio kipimo sahihi kwa ukubwa Yanga,, hizo mechi bado hazitoshi kusema chochote. Kuweni na subira
Hizo mechi unazosubiri ngumu ndiyo wakati zikija tutajikuta Utopolo wanaongoza LIGI kwa tofauti ya pointi kumi.

Mechi ngumu Ni ipi na laini Ni ipi.
 
Kwa mechi gani za maana walizocheza Yanga hadi mje hapa kutoa hizo sababu uchwara,,? Kmc walioponea chupuchupu kushuka daraja msimu uliopita, Jkt waliopanda daraja msimu huu ama Asas wa Djibouti sio kipimo sahihi kwa ukubwa Yanga,, hizo mechi bado hazitoshi kusema chochote. Kuweni na subira
Una roho ngumu
 
Tusubiri ukipopoleka ndiyo akili itakukaa sawa
 
Yanga ukiona wanacheza utagundua, liwale na liwe lazima tushinde.
Simba hata tukifungwa, tukidraw tukifunga ni sawa tu. Tunategemea usimba kushinda badala ya kiwango.

Hicho wanachokifanya Yanga ndio kilinifanya niangalie mpira wa miguu, kama hakipo kuangalia mpira huwa ni dakika tano mwisho
 
Back
Top Bottom