Utofauti wa mishahara katika Utumishi wa umma, kunavunja moyo na kusababisha watu kubeza kusoma sana


Argument yako ni ya kitoto sana.
Kunipangia cha kukujibu ni ishara nyingine ya utoto.
Umekomaa dereva wa rais dereva wa rais what is so special na dereva wa rais??

Kuna posho na mshahara, madereva wakilingana mishahara sio kosa ni kuwaandaliwa maisha yao vema, kwenye posho watatofautiana kulingana na mazingira ya kazi.

Mwanajeshi ambaye ni ADC wa rais analipwa sawa na mwanajeshi mwenye cheo kama chake aliyepo porini huko Nachingwea, tofauti inakuja kwenye posho ambazo zinatokana na mazingira ya kazi.
Sasa kwa uelewa wako siungesema ADC wa rais alipwe maradufu?
 
Mbona unaogopa swali?
Be a man. FACE THE QUESTION ASKED na sio kujibu ambacho sijakuuliza.

Mimi sijauliza hizo stori za sijui mwanajeshi, sijui ADC...

Mimi nimekuuliza, Je Mshahara wa Dereva wa halmashauri/tanesko unatakiwa uwe sawa na Mshahara wa dereva wa rais?

Jikite hapo kwenye swali langu specifically, Jibu hilo nililouliza bila kutafuta vichaka.
 
Wewe ni mjinga. Kabisa unauliza eti dereva wa raisi Ana nini special??
Ungekuwa karibu ningekukata kibao
 
Huyo jamaa ni mjinga, na Kama ni muajiriwa basi boss wake kazi anayo.
Haoni utofauti Kati ya dereva wa raisi na madereva wa halmashauri. Eti anauliza kabisa dereva wa raisi Ana nini special
Watu Kama Hawa ni wa kuwachapa vibao
 
Mkuu Kuna kitu kwenye andiko lako muhim Sana, mfano mfagiaji wa tamisem au wizara yoyote mshahara wake huwezi linganisha na mwalim wa certifi
 
Nenda Kalime kama unaona mshahara hautoshi. Pimbi
Wewe nakufuta katika ulimwengu wa roho na kimwili ,kataliwa popote upitapo ,ofisin kwako , mpaka familia yako,na imekua.
Mtu anakuja na hoja ya maana unaleta ujua jua hapa , nakupa miezi 7 kuanzia Sasa you will see
 
Ndomana nimegoma kwenda kusomea masters,walinipa Hadi scholarship ya nje ya nchi,nikawaambia hali yangu hairuhusu kwenda, degree hii moja inanitosha Sana🙅👊🏼tena.
Mimi niliajiriwa na diploma nikaenda kusoma bachelor na masters na nipo darasani kusoma masters ya pili halafu niunge PhD.

Na niko halmashauri na sijawahi juta.

#YNWA
 
Kwahiyo TBS ni bora kuliko halmashauri?
Halmashauri mbona maafisa biashara nao hukamata vitu feki, Wao hawajui utamu wa kuhongwa?
#YNWA
 
Kama unasoma madegree mengi ili upate pesa nyingi unajidanganya.

Kama unasoma sana ili upate mshahara mkubwa uwe tajiri unajiandalia umasikini.

Kama unasoma ili uwe na confidence upo sahihi.

Kinachokera maendeleo kwa binadamu yeyote siyo Madegree ya Vyeti, bali ni akili uliyozaliwa nayo. Kwa hiyo ili uendelee unapaswa kuondoa elimu zote za darasani na ubaki na akili tu uliyozaliwa nayo ambako huko kuna gifted na talented.
 
Kwamba halmashauri Hawana umuhimu na Kazi zao ni ndogo sanaa?

Halmashauri ya ilala kwa robo ya pili ya mwaka imekusanya Bil 18.8.
Nao si wanazalisha?

#YNWA
 
Mshahara unalipwa kutokana na kiwango Cha uzalishaji wa mtumishi husika na sio kiwango Cha elimu,unaweza ukawa na PhD lakini umhimu wako ukazidiwa na mwenye diploma
Halmashauri kwa robo ya pili ya mwaka wa Fedha zimekusanya Zaidi ya Bil 300.

Hizi Sio pesa?

#YNWA
 
Kuelewa kwako utofauti wa dereva wa judge na dereva wa halmashauri ni Jambo zuri Sana na linajibu hoja yenu ya utofauti wa mishahara.[emoji2936]
Chagua mifano linganifu. Dereva wa TMA na dereva wa halmashauri, wote wanaendesha wakuu wa idara. Haya tetea hoja yako
 
Na wewe unaona mfano wangu unakubana kwenye kona ndo maana unakimbia
 
soma ili uweze kupambana na changamoto za dunia,we unasoma ili uajiriwe serikalini?
 
Na wewe unaona mfano wangu unakubana kwenye kona ndo maana unakimbia
Mimi ndiye niliyeuliza swali toka mwanzoni kabisa. Ila kwa sababu huna jibu lake naona unapiga danadana hapa.

Ungekuwa na la kujibu ungeshajibu mda mrefu bila kujaza servers na maneno mengi yasiyojibu nilichouliza.

Cha msingi, wewe tafuta nafasi kwenye hizo taasisi ili upige mshahara mrefu kama wenzako na sio kulia machozi ya mamba kuombea wenzako washushwe ili mlingane.
 
Sio wewe tu, hata Mh Rais huwa analalamika.....yeye analipwa 9m wakati kuna wengine huko wanaliowa 15m na zaidi ....kwa mwezi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…