Utofauti wa mwonekano na Bei za Behewa SGR Kenya vs Behewa SGR Tanzania

Utofauti wa mwonekano na Bei za Behewa SGR Kenya vs Behewa SGR Tanzania

Kawadanganye labda wajinga wenzio unatuletea picha za uongo mpuuzi kweli hizo za chini ni za reli ya zamani meter gauge. Mmekalia unafiki tuu
tetea undezi huku unapigwa
 
Acha upotoshaji kijana. Behewa zilizopo pale Malindi ndio hizo mleta Mada amepost hapa. Hizo ni behewa za MGR Sio SGR.

Angalia hizo behewa gurudumu zake zipo juu ya reli.. Sasa jiulize Malindi Kuna SGR? Reli ya Kisasa kuingia bandarini bado ndio ipo kwenye ujenzi tena hatua za mwanzo kabisa.

Zile behewa za SGR ziko bandarini bado... Zinatolewa kwenda marshalling Kwa gurudumu special zinazopita juu ya MGR..
wewe waonekana sio mzima wakupimwa wewe...
yule mgeni wenu hakukosea kuwaita MAMBUZZI 🐮 🐮
FiMVq80XwAQ07M6.jpg:large
 
Halafu hata rais anayakubali? Takataka kabisa. Watu wote, akiwemo Kadogosa wangeswekwa ndani. Hii ni kudharau akili zetu.
 
View attachment 2438117

✓ JUU: ni mwonekano wa behewa za SGR Kenya...

=== BEI YAKE:

Ni KES 52.2m
kwa behewa moja sawa na TZS 980M

✓ CHINI
: Mwonekano wa behewa za SGR ya Tanzania yaliyonunuliwa juzi kati hapa..

===BEI YAKE:

Ni TZS 2.5bn kwa behewa moja

NB: Kwa vijana wa UVCCM yeyote anayesema haya eti wanaanza kupiga kelele kuwa ni "msaliti wa nchi" na eti siyo "mzalendo..."

Yaani wezi na mafisadi wa CCM eti wanataka kutufundisha sisi wengine somo la uzalendo wa nchi hii..!!

Msemaji wa serikali naye anayeitwa Gerson Msigwa hebu cheki anavyochanganya mambo na kuharibu zaidi..
View attachment 2442050
Yaani huu kweli kabisa ni Ufalme uliofitinika na mwisho wa falme kama hizi huwa ni anguko kuu...!

Na tunaposema hawa watu watakufa wakiwa wamekenua meno kwa uovu wao huu muwe mnaelewa...!!

Waone: UHURU JR TUJITEGEMEE
Laiti ungefanya tathmini kwa vigezo (specifications) ungeeleweka badala ya kulinganisha bei kwa mwonekano wa behewa
 
Sisi tumerudi kule kule, "Escape from Sobibor"!
 
Back
Top Bottom