Kama unampenda ana huyo assadi nenda kwake ukampikieyeye angesaidia nini kwenye hilo? kama na yeye hakuwa mwizi kwann alimuondoa ASSAD kwa kuhoji zilipo Trilion moja?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama unampenda ana huyo assadi nenda kwake ukampikieyeye angesaidia nini kwenye hilo? kama na yeye hakuwa mwizi kwann alimuondoa ASSAD kwa kuhoji zilipo Trilion moja?
Utakuwa ndio umehitimu kidato Cha nne!!
anza wewe kwenda kulimia KABURI CHATOKama unampenda ana huyo assadi nenda kwake ukampikie
Kwetu kuna VAT, Tozo na zile kodi nyingine nyingi.Ni KES 52.2m kwa behewa moja sawa na TZS 980M
Kwani yamenunuliwa mwaka Gani haya?Magufuli asingeruhusu huu uchafu...!!
Aliekwambia kakupotosha sana.Nilijuuliza swali kama lako na nikajibiwa hizo behewa zina weza kupita katika njia zote mbili na nimeziona tangu zinatoka bandari mpaka zonafika pale malind isitoshe mimi niko maeneo hayo ndio maana nakuambia acha ubishi usio na maingi
Lazima kuwe na mwanzo.Uwapige chini kupitia ku type kwenye keybord?
Twambie wewe unajua ilinunuliwa kwa bei ganiNilidhani huyu kwenye picha ni Magufuli kumbe ni sanamu tu inayoabudiwa na waumini wake...
Huyo huyo Magufuli aliruhusu vipi hii? Jamani CCM ni kambi ya wezi na mafisadi, huwezi kuwa CCM ukawa msafi hata ukifuliwa kwa JIK.
khoisan, je unajua hiki kivuko chakavu kilinunuliwa kwa bilioni ngapi? Acheni ujinga kwa kuwatetea waovu wanaopata haki yao motoni ahera!
TUTAMKUMBUKASema utamkumbuka, usituunganishe wengi katika kumkumbuka kwako!!
Labda Mungu aingilie katiDawa ni kuipiga chini CCM ili tuwe na uhakika wa usalama wa kodi zetu
Aliyepita na aliyepo wote ni ma-CCMKama aliweza kuruhusu ndege used kwa cash angeshindwaje mabehewa used kwa cash vilevile ?
Tena yeye alikwenda mbali zaidi Kwa sababu alilifanya hilo bila ya kufuata utaratibu bunge halikuidhinisha na aliehoji alitupwa ufukweni kwenye kiroba
Kwaiyo unakubaliana na behewa moja tena mtumba kununuliwa kwa 2.5B?Ni mambo kama haya yanayoipa CCM na watu wake ujiko mkubwa.
Unapoleta habari ya kupotosha unawakingia kifua hawa mafisadi. Haihitaji kamwe kusema uongo ili kufanya watu wajue ubaya wa watawala wao.
Hizo picha hapo juu ulizoonyesha, hata kabla mtu hajasoma taarifa uliyoweka ndani yake inaonyesha uongo ulio wazi.
Hiyo SGR ya Kenya ilikuwa na mabehewa ya aina hiyo uliyoonyesha hapo juu?
Inakuwia vipi vigumu kutafuta tu picha halisi za vichwa na mabehewa halisi ambavyo vyote vinapatikana kiurahisi, lakini unaamua uweke uongo, kuwakingia kifua mafisadi!
Haa haa..Lazima kuwe na mwanzo.
Wewe hapo unahaha kusaka majina yetu halisi ili mtusake na kudisconnect roho na miili yetu
Tuache, tunajua tunachokifanya na tutafika
I thought ungeleta picha za "ukweli wako" ili ku - counter attack "uongo wangu"...Wewe ni muongo. Ondoa hizo picha.
Watajie jina lako basi😀Haa haa..
Wanatafuta actual names ili wa - disconnect miili na roho zetu, siyo...?
Usiogope kwa sababu kwa sasa, they can't...!!
UKWELI siku zote uko juu ya UONGO na uongo hauwezi kuua ukweli...
Wasemakweli siku zote wako connected na KWELI na HAKI...
Wanaweza kuua miili yetu lakini kamwe hawawezi kuua roho zetu...!!
Ni wapi nilipokubali, unaweza kunionyesha?Kwaiyo unakubaliana na behewa moja tena mtumba kununuliwa kwa 2.5B?