Utofauti wa mwonekano na Bei za Behewa SGR Kenya vs Behewa SGR Tanzania

Utofauti wa mwonekano na Bei za Behewa SGR Kenya vs Behewa SGR Tanzania

tafuta au waambie wahusika (TRC) waweke hizo 'specifications' unazodai wewe hapa au wamekutuma wewe uwawakilishe kama nani kwao?

Hata rangi wanashindwa kuchagua inayovutia macho?
Kama ya kenya siyo ya umeme,, ba kumbe bei itakuwa sawA😂
 
Mkataba wa haya mabehewa ulisainiwa wakati wa utawala wake!

Kwa hiyo,mkumbuke kwa haya mabehewa pia.
Mie niliamua kumezea, sema ndo maana nikamwambia asijimalize sana kwa sababu hafahamu hayo mabehewa yaliagizwa wakati gani!!
 
Hivi SGR ya Kenya inatumia umeme au diesel? Naona juu ya treni kuna nyaya za umeme.
Screenshot_20221207-145055.png
 
View attachment 2438117
✓ JUU: ni mwonekano wa behewa za SGR Kenya...

=== BEI YAKE:

Ni KES 52.2m
kwa behewa moja sawa na TZS 980M

✓ CHINI
: Mwonekano wa behewa za SGR ya Tanzania yaliyonunuliwa juzi kati hapa..

===BEI YAKE:

Ni TZS 2.5bn kwa behewa moja

NB: Kwa vijana wa UVCCM yeyote anayesema haya eti wanaanza kupiga kelele kuwa ni "msaliti wa nchi" na eti siyo "mzalendo..."

Yaani wezi na mafisadi wa CCM eti wanataka kutufundisha sisi wengine somo la uzalendo wa nchi hii..!!

Na tunaposema hawa watu watakufa wakiwa wamekenua meno kwa uovu wao huu muwe mnaelewa...!!

Waone: UHURU JR TUJITEGEMEE
Wewe ni muongo. Ondoa hizo picha.
 
Unaweza kutuambia ni kwanini hiyo unayodai ni ya Kenya umetumia picha safi na hiyo unayosema ya Tanzania umetumia picha yenye mabehewa makuu kuu?!

Btw, ni kwamba Kenya wamezitupa zile trains zenye sura kama treni za kubebea maiti, na hivyo wakanunua hizo ulizoonesha, ama?!
Treni ya juu siyo ya kenya,, ya kenya ni hii hapa.
Screenshot_20221207-145055.png
 
ila CCM BHNA DU WANA AKILI CHAFU KMA MATOPE WATU WA HOVYO SANA JATA AIBU HAWANA KABSA
 
Treni ya juu siyo ya kenya,, ya kenya ni hii hapa.
View attachment 2438664
Niliamua tu kuacha hoja hewani ndo maana nikamuuliza ina maana wameuza zile treni zao na kununua hizo, au!

Hiyo pic aliyoweka hata uki-Google unaipata faster kwamba ni Europe na wala sio KE kama anavyojaribu kudanganya watu!
 
Ya Kenya yamenunuliwa kutoka wapi(nchi) na lini (mwaka) na yakiwa kwenye hali gani(new/used)?

Kwa namna upigaji ulivyo nchini Kenya,hata hiyo bei ina cha juu!
 
Back
Top Bottom