View attachment 2438117
✓ JUU: ni mwonekano wa behewa za SGR Kenya...
=== BEI YAKE:
Ni KES 52.2m kwa behewa moja sawa na
TZS 980M
✓ CHINI: Mwonekano wa behewa za SGR ya Tanzania yaliyonunuliwa juzi kati hapa..
===BEI YAKE:
Ni TZS 2.5bn kwa behewa moja
NB: Kwa vijana wa
UVCCM yeyote anayesema haya eti wanaanza kupiga kelele kuwa ni "msaliti wa nchi" na eti siyo "mzalendo..."
Yaani wezi na mafisadi wa CCM eti wanataka kutufundisha sisi wengine somo la uzalendo wa nchi hii..!!
Na tunaposema hawa watu watakufa wakiwa wamekenua meno kwa uovu wao huu muwe mnaelewa...!!
Waone:
UHURU JR TUJITEGEMEE