Sultan MackJoe Khalifa
JF-Expert Member
- Nov 24, 2022
- 6,782
- 14,148
kodi za wananchi zinapigwa sana na wahuni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani umeandika ujinga wa kiwango cha SGR ya TanzaniaJiulize hizo za kenya zinatumia umeme? Pia jiulize SGR ya kenya imeishia wapi? Hao wakenya wenyewe wanatushangaa tunavofanywa mazuzu na Kigwa mrupukaji
Dah..!! Halafu anatokea kenge mmoja au zaidi ya mmoja wanatetea wizi huu..!!! Yaani bei ya behewa moja la SGR ya TZ ni sawa na mabehewa mawili na ushee ya KE, huku uzuri wa mabehewa ya TZ yapo chini ya Robo kwa yale ya KE..!!View attachment 2438117
✓ JUU: ni mwonekano wa behewa za SGR Kenya...
=== BEI YAKE:
Ni KES 52.2m kwa behewa moja sawa na TZS 980M
✓ CHINI: Mwonekano wa behewa za SGR ya Tanzania yaliyonunuliwa juzi kati hapa..
===BEI YAKE:
Ni TZS 2.5bn kwa behewa moja
NB: Kwa vijana wa UVCCM yeyote anayesema haya eti wanaanza kupiga kelele kuwa ni "msaliti wa nchi" na eti siyo "mzalendo..."
Yaani wezi na mafisadi wa CCM eti wanataka kutufundisha sisi wengine somo la uzalendo wa nchi hii..!!
Na tunaposema hawa watu watakufa wakiwa wamekenua meno kwa uovu wao huu muwe mnaelewa...!!
Waone: UHURU JR TUJITEGEMEE
Hawatoki aisee, maana Tz ni mali yao.Dawa ni kuipiga chini CCM ili tuwe na uhakika wa usalama wa kodi zetu
Unathubutuje kutuaminisha kwamba enzi zake kila kilichofanyika kilikuwa above board? Je unakataa kuwa hicho kivuko hakikuletwa wakati wake? Je hicho kivuko kilichonunuliwa kwa mabilioni hatukuaminishwa toka awali kwamba ni kipya?Mimi Siyo shabiki wa JPM wala sikuwa na support.
Je kwa unavyomfahamu Magufuli hakuwepo hiyo takataka ilipoletwa kwa madai kwamba ni kivuko kipya? Je utadai hakujua? Je huyo aliyesimama kwenye hicho kivuko si Magufuli mwenyewe au ni picha ya mchongo? Je unataka ushahidi zaidi?Nimeandika hivyo kwa kuwa namfahamu alienda vitu vizuri zuri. Hivyo nafikiri kama angekuwepo wasingeleta hizo takataka.
Kuahidi na kutekeleza ni vitu viwili tofauti. Aliahidi kivuko kipya tukaletewa chakavu. Je una hakika gani kuwa angekuwepo tungeletewa mabehewa tofauti? Unamwamini vipi mtu anayeapa kuiheshimu, kuilinda na kuitetea Katiba halafu anaisigina?Enzi zake hizi ndizo tulizoahidiwa.
Since whenHawatoki aisee, maana Tz ni mali yao.
Mkuu picha ya behewa za Kenya sio kweli....View attachment 2438117
✓ JUU: ni mwonekano wa behewa za SGR Kenya...
=== BEI YAKE:
Ni KES 52.2m kwa behewa moja sawa na TZS 980M
✓ CHINI: Mwonekano wa behewa za SGR ya Tanzania yaliyonunuliwa juzi kati hapa..
===BEI YAKE:
Ni TZS 2.5bn kwa behewa moja
NB: Kwa vijana wa UVCCM yeyote anayesema haya eti wanaanza kupiga kelele kuwa ni "msaliti wa nchi" na eti siyo "mzalendo..."
Yaani wezi na mafisadi wa CCM eti wanataka kutufundisha sisi wengine somo la uzalendo wa nchi hii..!!
Na tunaposema hawa watu watakufa wakiwa wamekenua meno kwa uovu wao huu muwe mnaelewa...!!
Waone: UHURU JR TUJITEGEMEE
CCM ilifanya tambiko la nchi ili tuwe mazuzu daima. Ndo maana ajali na disaster kila kukicha na zinanyofoa uhai wa watu lqkini hakuna lolote tunalolifanyika zaidi ya kujadili kwa hisia kisha yanapita.Mungu alitupatia akili ili tuzitumie, ila sie watanzania sijui tulipunjwa!!
Leta picha au video ya behewa za Kenya unazozijua wewe...Mkuu picha ya behewa za Kenya sio kweli....
Bei sijui ila behewa za Kenya sio hizo..
Sasa hivi niko mombasa naelekea Nairobi na hi train ya sgr ya Kenya ebu niwapigie picha ya hizo behewa mnazo ongelea muone, hazina tofauti na zile za CCMHizo behewa mbona zina fit kwenye reli ya kawaida na mbona zipo kama behewa za magereza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] used imekuja kwenye karatasi bas tunalazimishwa kuamini ni mpya[emoji23][emoji23][emoji23]
Shida ipo..Kuna wakati we refuse to be fools. Anayetaka kuwa mjinga aendelee yeye mwenyewe na mambo yake.
Kuna shida sehemu....tena shida kubwa. Mwenye macho haambiwi tazama
±
Umechanganya hapaView attachment 2438117
✓ JUU: ni mwonekano wa behewa za SGR Kenya...
=== BEI YAKE:
Ni KES 52.2m kwa behewa moja sawa na TZS 980M
✓ CHINI: Mwonekano wa behewa za SGR ya Tanzania yaliyonunuliwa juzi kati hapa..
===BEI YAKE:
Ni TZS 2.5bn kwa behewa moja
NB: Kwa vijana wa UVCCM yeyote anayesema haya eti wanaanza kupiga kelele kuwa ni "msaliti wa nchi" na eti siyo "mzalendo..."
Yaani wezi na mafisadi wa CCM eti wanataka kutufundisha sisi wengine somo la uzalendo wa nchi hii..!!
Na tunaposema hawa watu watakufa wakiwa wamekenua meno kwa uovu wao huu muwe mnaelewa...!!
Waone: UHURU JR TUJITEGEMEE
Waendelee tu kuiba maana watz wengi wao bado akili hakuna kichwani,watu wako biz na mpira,petty issues na matukio.View attachment 2438117
✓ JUU: ni mwonekano wa behewa za SGR Kenya...
=== BEI YAKE:
Ni KES 52.2m kwa behewa moja sawa na TZS 980M
✓ CHINI: Mwonekano wa behewa za SGR ya Tanzania yaliyonunuliwa juzi kati hapa..
===BEI YAKE:
Ni TZS 2.5bn kwa behewa moja
NB: Kwa vijana wa UVCCM yeyote anayesema haya eti wanaanza kupiga kelele kuwa ni "msaliti wa nchi" na eti siyo "mzalendo..."
Yaani wezi na mafisadi wa CCM eti wanataka kutufundisha sisi wengine somo la uzalendo wa nchi hii..!!
Na tunaposema hawa watu watakufa wakiwa wamekenua meno kwa uovu wao huu muwe mnaelewa...!!
Waone: UHURU JR TUJITEGEMEE
Behewa za Kenya ni MbovuSasa hivi niko mombasa naelekea Nairobi na hi train ya sgr ya Kenya ebu niwapigie picha ya hizo behewa mnazo ongelea muone, hazina tofauti na zile za CCM View attachment 2438327View attachment 2438328
Treni ya Kenya ya mwendo kasi sio ya umeme mkuu...Umeweka picha ya treni ya umeme!!!!.....Leta picha au video ya behewa za Kenya unazozijua wewe...
Unaweza kuingia hapa kuthibitisha www.kenyarailway.ke
Kwani Mungu haoni na kufanya maamuzi mpaka we na mm tumuambie?Shida ipo..
Na shida yenyewe ni hii...
Kwamba, there's a satanic power behind the country's presidential authority that dictates every decision concerning this country and its people's welfare...
Hata hawa kina Samia pengine hata hawajui kwanini wakishangilia kwenye kiti hicho mawazo na mipango yao mizuri kwa nchi na watu huyeyuka na ghafla hugeuka viongozi katili wasiojali wengine ila wao tu na tamaa zao..
YES. Ni kwa sababu kwa shetani hakujawahi kutoka jambo au kitu kizuri kwa ajili ya watu. Kwake ni mabaya tu...
LA KUFANYA:
Ipo nguvu ya Mungu wetu aliye hai. Pamoja na juhudi za kimwili za kupambana na nguvu hii, ni muhimu na lazima sana kama taifa kwa umoja wetu tuombe Mungu yeye ndiye aingilie kati kwa kuwapa uwezo (maarifa) na nguvu (ufahamu) baadhi yetu namna ya kupambana na kuvunjilia mbali kiti cha enzi cha shetani na mawakala wake ktk ikulu ya nchi yetu...
Inawezekana tukifanya wajibu wetu...