profesawaaganojipya
JF-Expert Member
- Apr 21, 2015
- 1,595
- 3,416
Hivi SGR ya Kenya inatumia umeme au diesel? Naona juu ya treni kuna nyaya za umeme.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usijimalize kwa sababu hujui hayo mabehewa yaliagizwa wakati gani...Tutamkumbuka Magu Daima
View attachment 2438117
✓ JUU: ni mwonekano wa behewa za SGR Kenya...
=== BEI YAKE:
Ni KES 52.2m kwa behewa moja sawa na TZS 980M
✓ CHINI: Mwonekano wa behewa za SGR ya Tanzania yaliyonunuliwa juzi kati hapa..
===BEI YAKE:
Ni TZS 2.5bn kwa behewa moja
NB: Kwa vijana wa UVCCM yeyote anayesema haya eti wanaanza kupiga kelele kuwa ni "msaliti wa nchi" na eti siyo "mzalendo..."
Yaani wezi na mafisadi wa CCM eti wanataka kutufundisha sisi wengine somo la uzalendo wa nchi hii..!!
Na tunaposema hawa watu watakufa wakiwa wamekenua meno kwa uovu wao huu muwe mnaelewa...!!
Waone: UHURU JR TUJITEGEMEE
Subiri yakitulia baada ya safari ndefu utayasifu, unapoenda kupanda treni kwenda Kigoma unaonekana nadhifu, lakini ukifika Kigoma unaonekana umechakaa, ukienda kuoga ulikofikia watu watakupotea, subiri yaoshwe.View attachment 2438117
✓ JUU: ni mwonekano wa behewa za SGR Kenya...
=== BEI YAKE:
Ni KES 52.2m kwa behewa moja sawa na TZS 980M
✓ CHINI: Mwonekano wa behewa za SGR ya Tanzania yaliyonunuliwa juzi kati hapa..
===BEI YAKE:
Ni TZS 2.5bn kwa behewa moja
NB: Kwa vijana wa UVCCM yeyote anayesema haya eti wanaanza kupiga kelele kuwa ni "msaliti wa nchi" na eti siyo "mzalendo..."
Yaani wezi na mafisadi wa CCM eti wanataka kutufundisha sisi wengine somo la uzalendo wa nchi hii..!!
Na tunaposema hawa watu watakufa wakiwa wamekenua meno kwa uovu wao huu muwe mnaelewa...!!
Waone: UHURU JR TUJITEGEMEE
Aliiba saa ngapi? Mie sikumuona akiiba hzo helaUchafu aliyofanya kwa Assad ni Zaidi ya huu, aliiba 1.5T afu unakuja na upuuzi wa mpuuzi.
Kaka hizo za chini ndio behewa zilizofika na ziko pale TRC malind yard sasa unakqtaa nini na ziko peupe zinaonekan na mtu yoyoteKawadanganye labda wajinga wenzio unatuletea picha za uongo mpuuzi kweli hizo za chini ni za reli ya zamani meter gauge.Mmekalia unafiki tuu
Yaani wezi na mafisadi wa CCM eti wanataka kutufundisha sisi wengine somo la uzalendo wa nchi hii..!!View attachment 2438117
✓ JUU: ni mwonekano wa behewa za SGR Kenya...
=== BEI YAKE:
Ni KES 52.2m kwa behewa moja sawa na TZS 980M
✓ CHINI: Mwonekano wa behewa za SGR ya Tanzania yaliyonunuliwa juzi kati hapa..
===BEI YAKE:
Ni TZS 2.5bn kwa behewa moja
NB: Kwa vijana wa UVCCM yeyote anayesema haya eti wanaanza kupiga kelele kuwa ni "msaliti wa nchi" na eti siyo "mzalendo..."
Yaani wezi na mafisadi wa CCM eti wanataka kutufundisha sisi wengine somo la uzalendo wa nchi hii..!!
Na tunaposema hawa watu watakufa wakiwa wamekenua meno kwa uovu wao huu muwe mnaelewa...!!
Waone: UHURU JR TUJITEGEMEE
Kama chattle, ngoma drooKikubwa Zanzibar ijengeke

Uchafu aliyofanya kwa Assad ni Zaidi ya huu, aliiba 1.5T afu unakuja na upuuzi wa mpuuzi.
aliiba yule kibakaaliiba?au alitumia bila idhini ya bunge,kama kununua ndege,,,ongea kwa haki mkuu...
Acha upotoshaji kijana. Behewa zilizopo pale Malindi ndio hizo mleta Mada amepost hapa. Hizo ni behewa za MGR Sio SGR.Kaka hizo za chini ndio behewa zilizofika na ziko pale TRC malind yard sasa unakqtaa nini na ziko peupe zinaonekan na mtu yoyote
Na wewe ujisemeee usiwasemee na wengine mshamba weweSema utamkumbuka, usituunganishe wengi katika kumkumbuka kwako!!
Kama hujui kitu jinsi treini ya umeme inavyofanya kazi ni bora upite kimya kimya.Lakini hayo ya Kenya si niya mchina? Sisi si ni ya South Korea? Sasa utalinganishaje bei ya Samsung na ya Techno? Halafu haya ya kwetu si ni full automatic electrical wagons wakati yale ya Kenya ni manual diesel wagons? Yetu ni mafupi, hivyo center of gravity yake iko chini na hivyo ni ngumu kupinduka. Axle load ya wagons zetu ni tani nyingi zaidi. Hivyo bei yake kuwa mara 3 ya yale ya Kenya ni sahihi kabisa.