Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama aliweza kuruhusu ndege used kwa cash angeshindwaje mabehewa used kwa cash vilevile ?Magufuli asingeruhusu huu uchafu...!!
Njia ipi nyepesi ya kuipiga chini?Dawa ni kuipiga chini CCM ili tuwe na uhakika wa usalama wa kodi zetu
Sio ncha kali tu bali kizito pia!Tz tumepigwa na kitu chenye ncha kali sana awamu hii
Piga goti muombe Mungu kwa imani yako.Njia ipi nyepesi ya kuipiga chini?
Moto wa milele uendelee kumuwakiaTutamkumbuka Magu Daima
Tangu alipotufokea tulipokuwa tunahoji kuhusu alipo Jiwe tena kwenye nyumba ya Ibada, binafsi sijawahi msikiliza tena baada ya paleView attachment 2438183
Huyu jamaa muongo sana
Mbona ya Kenya mkuu huwa ina bendera pale mbele?View attachment 2438117
✓ JUU: ni mwonekano wa behewa za SGR Kenya...
=== BEI YAKE:
Ni KES 52.2m kwa behewa moja sawa na TZS 980M
✓ CHINI: Mwonekano wa behewa za SGR ya Tanzania yaliyonunuliwa juzi kati hapa..
===BEI YAKE:
Ni TZS 2.5bn kwa behewa moja
NB: Kwa vijana wa UVCCM yeyote anayesema haya eti wanaanza kupiga kelele kuwa ni "msaliti wa nchi" na eti siyo "mzalendo..."
Yaani wezi na mafisadi wa CCM eti wanataka kutufundisha sisi wengine somo la uzalendo wa nchi hii..!!
Na tunaposema hawa watu watakufa wakiwa wamekenua meno kwa uovu wao huu muwe mnaelewa...!!
Waone: UHURU JR TUJITEGEMEE
ZilipendwaUchafu aliyofanya kwa Assad ni Zaidi ya huu, aliiba 1.5T afu unakuja na upuuzi wa mpuuzi.
Magufuli ndio mwalimu wao CCM wote ni mafisadi tuTutamkumbuka Magu Daima
Jiulize hizo za kenya zinatumia umeme? Pia jiulize SGR ya kenya imeishia wapi? Hao wakenya wenyewe wanatushangaa tunavofanywa mazuzu na Kigwa mrupukaji
Ukiambiwa dhibitisha unaanza oooh naonewa,Uchafu aliyofanya kwa Assad ni Zaidi ya huu, aliiba 1.5T afu unakuja na upuuzi wa mpuuzi.
Nilidhani huyu kwenye picha ni Magufuli kumbe ni sanamu tu inayoabudiwa na waumini wake...Magufuli asingeruhusu huu uchafu...!!
Chukua hayo hayo yenye bendera (Kenya) linganisha na ya Tanzania yasiyo na bendera..Mbona ya Kenya mkuu huwa ina bendera pale mbele?
Yes, wewe umeyaona mambo haya kwa jicho la rohoni...Piga goti muombe Mungu kwa imani yako.
Njia itapatikana na haipo mbali.
Sasa wanafanya makosa ya wazi wazi na soon watajikatilia mbali wenyewe
Mimi Siyo shabiki wa JPM wala sikuwa na support.Nilidhani huyu kwenye picha ni Magufuli kumbe ni sanamu tu inayoabudiwa na wafuasi wake...
Huyo huyo Magufuli aliruhusu vipi hii? Jamani CCM ni kambi ya wezi na mafisadi, huwezi kuwa CCM ukawa msafi hata ukifuliwa kwa JIK.
khoisan, je unajua hiki kivuko chakavu kilinunuliwa kwa bilioni ngapi? Acheni ujinga kwa kuwatetea waovu wanaopata haki yao motoni ahera!
Haa haa haa..Subiri yakitulia baada ya safari ndefu utayasifu, unapoenda kupanda treni kwenda Kigoma unaonekana nadhifu, lakini ukifika Kigoma unaonekana umechakaa, ukienda kuoga ulikofikia watu watakupotea, subiri yaoshwe.
Mungu alitupatia akili ili tuzitumie, ila sie watanzania sijui tulipunjwa!!Piga goti muombe Mungu kwa imani yako.
Njia itapatikana na haipo mbali.
Sasa wanafanya makosa ya wazi wazi na soon watajikatilia mbali wenyewe