TheForgotten Genious
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 2,853
- 4,503
Ongezeko la thamani kati ya mwanamke na mwanaume ni kinyume chake kulingana na ongezeko la umri,Thamani ya mwanamke ina pungua kadri umri unavyozidi kuongezeka wakati thamani ya mwanaume inaongezeka kadri ya umri unavyoongezeka.
Thamani ya mwanaume inazingatia sana ongezeko la uwezo wa kiuchumi,upevu wa akili na mipango thabiti.
Kuanzia miaka 19 thamani ya mwanamke huwa inakuwa kwa kasi sana ktk suala zima la mahusiano ya kimapenzi,katika umri huo mwanamke huwa anahitajika sana na wanaume na ndio kipindi hiki mwanamke anakuwa na nyodo kali sana,wengi ukiwaambia nikuoe wanaona kama unaongea vitu vya ajabu sana,lakini anakuwa anatumika na wanaume tofautitofauti,halihii inakuwa mpaka kufikia miaka 25 hapo taratibu anaanza kuchuja,ikitokea akadaka mimba ndio inakuwa kwisha habari yake.Katika umri huo wa miaka 25 ndio huwa wanaanza kupata shauku ya kuolewa na hata kuwakumbuka waliowahikuwahitaji wawaoe,lakini inakuwa too late.
Kupungua kwa thamani hiyo kuna ongezeka kwa kasi ya ajabu mpaka miaka 30,ktk umri huo wanawake wengi wanakuwa wapowapo tu ,wanakuwa wakitumika kama emergency boxes,wao wenyewe wanakuwa hawana confidence tena na hata ile fikra ya kutaka kuolewa inafifia kama inakuwepo basi huwa wanafikiria kuolewa na wanaume ambao umri upo juu kidogo ili watulize nafsi zao na vigezo huwa vinapungua sana,ni katika umri huo wanawake huwa ktk majaribu magumuna vishawishi vya kujiingiza ktk vitendo visivyo na staha na pia ndio hapo tunapata wanawake wanaoamua kujiita superwoman kwakusimamia feminism ,si kwamba wanamaanisha kuwa feminists bali ni njia ya kujificha wajione wanathamani wakati ilishachuja.
ikitokea ktk umri huo hana hata mtoto ndio anafikiria kuzaa tu ili awe mama tu ndio hapo tunapata aina nyingine ya single maza,japo single maza wengo hupatikana kati ya 18-25.Katika umri wa miaka 30 mwanamke anakuwa ktk hatua za kuchoka,anakuwa amechoka kabisa ktk miaka 35 hapo hata uzazi wake unakuwa wa mashaka sana.
Hali ya kushuka kwa thamani ya mwanamke kunapelekea UTU wakekudharaurika pia.
Mwanaume thamani yake huongezeka kadri ya umri unavyoongezeka,katika umri wa miaka 19 huwa ana uwezo mdogo kifedha hivyo hukosa ujasiri na aanaonekana aliyechakaa,kadri siku zinavyoongezeka thamani yake huongezeka lakini hili hutegemea na mentality pamoja na uchakalikaji wake kujiingizia kipato.
katika umri wa miaka 25 mpaka 30 manaume huwa anashauku ya kula ujana sana na ktk kipindi hiki anagegeda sana wanawake wa miaka 19-25,maana wanawake wa rika hili wanakuwa wanawaka na kuteswa na usister du,hapa ndio kijana anapokula ujana kweli kweli ,haoni kazi kupiga matukio mwanamke akamuacha na milio.
katika umri wa miaka 32 wanaume wengi huwa wanaanza kupata utulivu na kuanza kuwa na maono na dira ya kweli,na hapo hata akisema anataka kuoa anakuwa anamaanisha kweli,ni kipindi hiki huwa makini sana ktk kusimamisha misingi yake ya kiuchumi,katika umri huu mpaka miaka 40,mwanamke ukisikia mwanaume anasema anataka kukuoa na unamuhitaji kweli basi changamka ,maana huwa wanakuwa na maamuzi magumu na ya haraka sana akiona hueleweki ,huwa anataka kutimiza takwa lake tu.
Wanaume wengi waliojitunza kiafya ,na niwachakalikaji ktkutafutaji wao miaka 40 na kuendelea wanakuwa wanajimudu kiuchumi na ndio ktk umri huo hata kabinti ka miaka 20 kanaweza kuolewa naye maana hana shida ambazo ni mahitaji ya muhimu ya wanawake wengi ,miaka 40 hadi 60 waliojitunza afya zao hawana magonjwa yasiyo ambukiza wanakuwa na nguvu za kutosha kumuhimili mwanamke na kumuhudumia,na wengi huwa wanasumbuliwa na maradhi yasiyoambukiza hivyo kukosa nguvu za kumuhimili mwanamke,hapo wengi hutumia busta.
Mwanamke anachakaa haraka kuliko mwanaume.wakianza kuchakaa ndio wanatoa milio nakuanza kuwaita wanaume wote ni mmbwaa.