Utofauti wa watoto wa Jana na leo

Utofauti wa watoto wa Jana na leo

Ha ha kwangu maeneo niliyohamia karibuni,nikawaambia dogo marufuku kula kwa watu,sasa kuna jirani mmoja tunaitana kaka/dada, dogo huwa anaenda huko kucheza,akikaribishwa anawaambia baba kanikataza kura kwa watu,sasa siku moja nipo nae tunapita hapo tukawakuta wanakula,dogo akaambiwa karibu chakura,dogo akaawambia silagi kwa watu mimi baba kanikataza,daah niliona noma balaa....
 
A

aaaah dogo katisha!!!
 
Mwqche tu ale. Ukiona ivyo humshibishi.

Pia zamani si unajia waafrica tulikuwa na ushirikina sana, siku hizi hizi imani sio kma zaman.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mtoto anaacha chakura hom,ila akiona wenzake na yeye anataka kura tena,kuna watoto wengine mpka umuite watoto wengine ndiyo na yeye anakula.
 
Back
Top Bottom